Back

ⓘ Wallis na Futuna
Wallis na Futuna
                                     

ⓘ Wallis na Futuna

Wallis na Futuna ni eneo la ngambo la Ufaransa katika Bahari ya Pasifiki kati ya Fiji na Samoa.

Eneo lake ni visiwa vitatu vyenye jumla ya kilomita za mraba 274.

Idadi ya wakazi ni 13.000. Kwa upande mmoja kuna kisiwa cha Wallis na kwa upande mwingine visiwa vya Futuna. Umbali kati yake ni takriban kilomita 200.

Wakazi walio wengi ni Wapolynesia wakiongea lugha za Kipolynesia pamoja na Kifaransa.

Wakazi walio wengi huishi kwa kilimo cha kujikimu. Uchumi hutegemea misaada kutoka Ufaransa. Katika miaka iliyopita utalii umeanza kuchangia katika pato.

Users also searched:

...
...
...