Back

ⓘ Kisisili
Kisisili
                                     

ⓘ Kisisili

Kisisili ni mojawapo kati ya Lugha za Kirumi, ingawa asilimia 20 za maneno yake yana asili ya Kigiriki na Kiarabu.

Ndiyo ya kwanza kuwa na fasihi katika ya lugha za Italia.

Hadi leo inatumiwa na watu milioni 5 hivi, hasa katika sehemu kubwa kabisa ya kisiwa cha Sicilia, lakini pia Italia Kusini na kokote walikohamia wenyeji wa sehemu hizo.

                                     

1. Viungo vya nje

  • "Tovuti ya Kisisili
  • Arba Sicula A non-profit organisation dedicated to preserving the Sicilian language
  • Kiitalia www.linguasiciliana.it
                                     
  • Rosalia kwa Kisisili Rusulia 1130 1166 alikuwa bikira wa ukoo maarufu wa Palermo, mji mkuu wa kisiwa cha Sicilia, leo mkoa wa Italia. Alikwenda kuishi
  • Etna kutoka Kilatini: Aetna kwa Kiitalia pia Mongibello kwa Kisisili Mungibeddu au â Muntagna ni volkeno hai wa Sicilia mashariki Italia kati ya

Users also searched:

...
...
...