Back

ⓘ Mikronesia
Mikronesia
                                     

ⓘ Mikronesia

Mikronesia ni eneo la Bahari ya Pasifiki. Ni moja kati ya makundi makubwa matatu ya visiwa vya Pasifiki pamoja na Melanesia na Polynesia.

Jina limeundwa na maneno ya Kigiriki ya νῆσος kisiwa na μικρος kidogo yaani "visiwa vidogo". Mpelelezi na nahodha Mfaransa Jules Dumont dUrville alitunga jina hili 1832 kwa kuweka uzito kwa udogo wa visiwa hivi vinavyozidi 2.000.

Mikronesia iko upande wa mashariki wa Ufilipino na upande wa kaskazini ya Guinea Mpya na Melanesia to the south, halafu magharibi ya Polynesia. Eeno lake ni klaskazini ya ikweta.

                                     

1. Nchi za Mikronesia

Kisiasa kuna maeneo nane katika Mikronesia:

  • Visiwa vya Mariana ya Kaskazini chini ya Marekani;
  • kisiwa cha Wake kituo cha kijeshi cha Marekani.
  • Visiwa vya Marshall;
  • Nauru;
  • Shirikisho la Mikronesia lenye majimbo manne: Kosrae, Yap, Pohnpei na Chuuk;
  • Kiribati;
  • Guam eneo la Marekani.
  • Palau;

Users also searched:

...
...
...