Back

ⓘ Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi
Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi
                                     

ⓘ Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi

Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi ni hasa funguvisiwa la Chagos likiwa pamoja na kisiwa cha Diego Garcia. Linapatikana kati ya Tanzania na Indonesia.

Mauritius inadai eneo lote ni lake, na mwaka 2017 mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa umeikubalia ifungue kesi katika Mahakama Kuu ya Kimataifa.

                                     

1. Viungo vya nje

British Indian Ocean Territory travel guide kutoka Wikisafiri

  • British Indian Ocean Territory on UK government site
  • Official website
  • UK Foreign Office- profile
  • Christian Nauvel, "A Return from Exile in Sight? The Chagossians and their Struggle" 2006 5 Northwestern Journal of International Human Rights 96–126 retrieved 9 May 2011.
  • Chagos Islands B.I.O.T. at Britlink – British Islands & Territories
  • British Indian Ocean Territory entry at The World Factbook
  • The Chagos Conservation Trust – A non-political charity whose aims are to promote conservation, scientific and historical research, and to advance education concerning the archipelago.
  • EU Relations with British Indian Ocean Territory
  • Diego Garcia, timeline posted at the History Commons.
  • Diego Garcia Online: Information for the Diego Garcia, BIOT population

Users also searched:

...
...
...