Back

ⓘ Saint-Pierre na Miquelon
Saint-Pierre na Miquelon
                                     

ⓘ Saint-Pierre na Miquelon

Saint-Pierre and Miquelon ni eneo la ngambo la Ufaransa ambalo ni funguvisiwa mbele ya pwani la Kanada katika Atlantiki.

Visiwa vikubwa zaidi ni Saint-Pierre 26 km², Miquelon 110 km², Langlade 91 km² shalafu visiwa vingine vidogo vyenye eno la jumla 242 km². Miquelon na Langlade vilikuwa visiwa viwili lakini leo vimeungwa kwa kanda ya nchi kavu vyaitwa pamoja kama "Miquelon".

Jumla ya wakazi ni watu 6.316 Saint-Pierre: wakazi 5.618, Miquelon na Langlade: wakazi 698.

Visiwa hii ni mabaki ya koloni kubwa ya zamani iliyoitwa "Nouvelle-France" Ufaransa Mpya na kuenea katika Kanada.

Users also searched:

...
...
...