Back

ⓘ St. Georges (Grenada)
St. Georges (Grenada)
                                     

ⓘ St. Georges (Grenada)

Saint Georges ni mji mkuu wa Grenada ambayo ni nchi ya visiwani ya Karibi kati ya visiwa vya Antili Ndogo. Saint Georges ni mji mdogo tu mwenye wakazi 4.300 lakini pamoja na watu wa eneo la karibu ni mnamo 33.000. Uko kwenye pwani la kusini-magharibi ya kisiwa cha Grenada.

Mji ulianzishwa na Wafaransa mnamo 1650. Tangu 1763 umekuwa chini ya Uingereza hadi uhuru.

Hadi 1960 ilikuwa mji mkuu wa koloni ya Uingereza ya Windward Islands iliyojumlisha Saint Lucia, Saint Vincent, visiwa vya Grenadini na Grenada.

Users also searched:

...
...
...