Back

ⓘ Kisiwa cha Ukerewe
Kisiwa cha Ukerewe
                                     

ⓘ Kisiwa cha Ukerewe

2.029300°S 33.009796°E / -2.029300; 33.009796

Kisiwa cha Ukerewe ndicho kisiwa kikuu cha Tanzania ambacho kinapatikana katika Ziwa Viktoria, kiasi kwamba hilo linaitwa pia "Ziwa Ukerewe". Wenyeji wanakiita "Bukerebe".

Kikiwa na eneo la Km² 530 hivi, ndicho pia kisiwa kikuu cha Afrika kisicho cha baharini na kisiwa cha ziwani cha pili duniani kwa ukubwa.

Pamoja na visiwa vya jirani kinaunda Wilaya ya Ukerewe katika Mkoa wa Mwanza.

Wakazi wake ni 345.147.

                                     

1. Viungo vya nje

 • Gerald W. Hartwig: Long-Distance Trade and the Evolution of Sorcery among the Kerebe, katika: African Historical Studies Vol. 4, No. 3 1971, pp. 505-524"
 • Geonames.org
 • Gerald W. Hartwig, Changing Forms of Servitude among the Kerebe of Tanzania; katika: Slavery in Africa: Historical and Anthropological Perspectives, ed Suzanne Miers, Igor Kopytoff, Univ of Wisconsin Press 1979, ISBN 0299073343 kupitia google books
                                     
 • Kisiwa cha Lyegoba ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania. Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa
 • Kisiwa cha Buluza ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania. Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa
 • Kisiwa cha Kulazu ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania. Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa
 • Kisiwa cha Siza ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania. Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa
 • Kisiwa cha Malelema ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania. Kuna Malelema Kubwa na Malelema Ndogo. Kinapatikana
 • Kisiwa cha Burubi ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania. Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa
 • abhakerebhe ni kabila la watu wa kaskazini mwa Tanzania wanaoishi kwenye kisiwa cha Ukerewe katika Ziwa Viktoria. Lugha yao ni Kikerewe. Kabila hili linaundwa
 • Kisiwa cha Chabalewa Kisiwa cha Kwankoro Kisiwa cha Mubari Kisiwa cha Nyakaseke Kisiwa cha Lundo Kisiwa cha Mbamba Kisiwa cha Izinga Kisiwa
 • Tanzania wanaoishi hasa katika Mkoa wa Mwanza, wilaya ya Ukerewe hususan katika kisiwa cha Ukara. Kutokana na uhaba wa ardhi uliosababishwa na ongezeko
 • katika kisiwa cha Ukerewe kilichopo katika ziwa hilo kubwa zaidi barani Afrika. Japo haijulikani sababu hasa, kundi moja liliondoka katika kisiwa cha Ukerewe

Users also searched:

...
...
...