Back

ⓘ Danilo II
Danilo II
                                     

ⓘ Danilo II

Danilo II alikuwa askofu mkuu wa Waserbia miaka 1324-1337.

Akiwa kwanza mmonaki, aliandika kumbukumbu za watu na matukio mbalimbali ambazo ni kati ya maandishi muhimu ya Kiserbia.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi kama mtakatifu.

                                     

1. Vyanzo

  • Лопандић, Душко 2009. Архиепископ српски Данило II sr. Politikin zabavnik. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-06-04.
  • Episkop šumadijski Sava 2001. Sveti Danilo II arhiepiskop srpski sr. Srpski jerarsi od IX do XX veka. Projekat Rastko. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-04-02. Iliwekwa mnamo 2017-12-03.
  • Justin Sp Popović 1976. Žitija svetih in sr. Izdanje Manastire sv. Ćelije kod Valjeva.
                                     

2. Marejeo mengine

  • "Архиепископ Данило II и његово доба" in sr. Међународни научни скуп поводом 650 година од смрти Belgrade: САНУ. December 1987.
  • 1866 Životi kraljeva i arhiepiskopa srpskih in sr. US. Galca.