Back

ⓘ Bruno wa Segni
Bruno wa Segni
                                     

ⓘ Bruno wa Segni

Bruno wa Segni, O.S.B. alikuwa padri, mmonaki, halafu abati wa Montecassino na askofu wa Segni, Italia.

Tarehe 5 Septemba 1181 Papa Lucius III alimtangaza kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Julai