Back

ⓘ Universities Mission to Central Africa
Universities Mission to Central Africa
                                     

ⓘ Universities Mission to Central Africa

Universities Mission to Central Africa, kwa kifupi "UMCA", ilikuwa jumuiya ya wasomi iliyoanzishwa na wanachama wa Kanisa la Anglikana katika vyuo vikuu vya Oxford, Cambridge, Durham na Dublin.

Kutokana na wito wa mmisionari David Livingstone, jumuiya hii ilianzishwa katika ya Waanglikana wenye mwelekeo wa Kikatoliki, nayo iliunda vituo vya uaskofu huko Zanzibar na Nyasaland baadaye Malawi na kuanzisha mafunzo ya wachungaji wa Kiafrika.

                                     

1. Marejeo

  • A.E.M. Anderson-Morshead, The History of the Universities’ Mission to Central Africa 1859-1898, 2nd edn. London: Office of the Universities’ Mission to Central Africa, 1899. Hbk. pp.494.

Users also searched:

...
...
...