Back

ⓘ Adriano wa Nikomedia
Adriano wa Nikomedia
                                     

ⓘ Adriano wa Nikomedia

Adriano wa Nikomedia alikuwa mkuu wa walinzi wa kaisari Galerius.

Alipokuwa na umri wa miaka 28, aliongokea Ukristo pamoja na mke wake Natalia, ilimbidi Adriano afie dini hiyo katika mji Nikomedia, leo nchini Uturuki.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa na Waorthodoksi katika tarehe tofauti; kwa Wakatoliki ni tarehe 8 Septemba.

                                     

1. Marejeo

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints, 3rd, New York: Penguin Books. ISBN 0-14-051312-4.
  • 1908 "S. Adrian", Saints and Their Symbols: A Companion in the Churches and Picture Galleries of Europe, 32. OCLC 16907745.

Users also searched:

...