Back

ⓘ Aureus wa Mainz
Aureus wa Mainz
                                     

ⓘ Aureus wa Mainz

Aureus wa Mainz alikuwa askofu wa Mainz, Ujerumani katika karne ya 5.

Alidhulumiwa kwa kutetea imani sahihi ya Kanisa Katoliki dhidi ya Waario.

Anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Juni.