Back

ⓘ Adamu Abati
Adamu Abati
                                     

ⓘ Adamu Abati

Adamu Abati, O.S.B. alikuwa mmonaki Mbenedikto wa Italia aliyefikia kuwa abati wa monasteri yake, halafu akaenda kuishi upwekeni.

Alichangia juhudi za kuunganisha Italia Kusini chini ya Roger II wa Sicilia.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa siku ya kifo chake, tarehe 3 Juni.