Back

ⓘ Albano wa Uingereza
Albano wa Uingereza
                                     

ⓘ Albano wa Uingereza

Albano wa Verulamium anahesabiwa kuwa Mkristo mfiadini wa kwanza kutoka Britania ya Kirumi.

Makadirio ya kifodini chake yanatofautiana sana: 22 Juni 209, 251 hivi lakini zaidi 304.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe ya kifo chake.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Bede, Ecclesiastical History Book i.vii Archived Julai 5, 2004 at the Wayback Machine.: the story of Saint Alban
  • The Story of Alban on the Cathedral and Abbey Church of St Albans website
  • An English translation of Bedes chapter on Alban at www.earlychurchtexts.com
  • The Latin Text of Bedes chapter on Alban at www.earlychurchtexts.com – also links to online dictionaries

Users also searched:

...
...
...