Back

ⓘ Lidwina




Lidwina
                                     

ⓘ Lidwina

Lidwina wa Schiedam, Uholanzi, alikuwa mwanamke maarufu kwa maisha ya kiroho, sala na karama zake.

Tarehe 14 Machi 1890 Papa Leo XIII alithibitisha heshima ya mtakatifu ambayo Wakatoliki walimpa Lidwina tangu zamani.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Aprili.

                                     

1. Maisha

Alipokuwa na umri wa miaka 15, Lidwina alianguka na kuvunjika ubavu akiwa anacheza penye barafu. Badala ya kupona, alizidi kulemaa maisha yake yote, mpaka akapooza mwili mzima isipokuwa mkono wa kushoto.

Lidwina alishika mfululizo saumu na sifa yake kama mtakatifu mponyaji ilizidi kuvuma. Maafisa wa mji wake, Schiedam, wametuachia tamko rasmi la kwamba aliacha kabisa kula na kupata usingizi.

Lidwina alifariki akiwa na umri wa miaka 53.

                                     

2. Viungo vya nje

  • Saint Lydwina of Schiedam Patron Saint Index Archived Julai 6, 2008 at the Wayback Machine.
  • Saint Lydwine of Schiedam, by J.K. Huysmans translated from the French by Agnes Hastings, 1923, Kegan Paul, Trench, Trubner & Co., London. Reprinted 1979, TAN Books and Publishers, Rockford, Illinois, ISBN 0-89555-087-3
  • Albers, Petrus Henricus 1910. "St. Lidwina". In Herbermann, Charles. Catholic Encyclopedia. 9. Robert Appleton Company. pp. 233a-233b. Retrieved 2013-05-07.
                                     
  • Ndiyo Ndiyo Lidano Ndiyo Lidia wa Thiatira Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Lidwina Ndiyo Ndiyo Lifardi Ndiyo Ndiyo Ndiyo Likano Ndiyo Likarioni
  • watakatifu, aliweza kupata tena uwezo wake wa kuona na kutembea. Mtakatifu Lidwina wa Schiedam mwaka wa 1380 1433 aliyekuwa mtawa wa kike Mholanzi anaweza

Users also searched:

...
...
...