Back

ⓘ Kapa (pwani)
Kapa (pwani)
                                     

ⓘ Kapa (pwani)

Kapa au wangwa ni msitu unaokua katika maji ya chumvi kwenye fuko za bahari za kanda za tropiki na nusutropiki. Jumla ya maeneo ya kapa duniani kote ilikuwa km² 137.800 katika nchi na maeneo 118 mwaka 2000.

Miti inayokua ndani ya nyangwa, kama mikoko na mikandaa, inaweza kumudu maji yenye chumvi nyingi. Na mizizi yao inaunda matawi yanayomea juu ya matope na kupumua hewa, kwa sababu matope hayana oksijeni ya kutosha. Spishi nyingine zinabebwa juu ya mizizi kama magongo.

Spishi za miti ya kapa zinazotokea Afrika ya Mashariki ni:

 • Familia Acanthaceae
 • Avicennia marina, Mchu Grey mangrove
 • Familia Combretaceae
 • Lumnitzera racemosa, Mkandaa dume Tonga mangrove
 • Familia Lythraceae
 • Sonneratia caesolaria, Mkoko-mpia Crabapple mangrove
 • Sonneratia alba, Mliana White mangrove
 • Xylocarpus moluccensis, Mkelenge Moluccan mangrove
 • Xylocarpus granatum, Mkomafi Cannonball mangrove
 • Familia Meliaceae
 • Ceriops tagal, Mkandaa Indian mangrove
 • Rhizophora mucronata, Mkoko Magondi Asiatic mangrove
 • Bruguiera gymnorrhiza, Mchofi au Mkoko Wimbi Black mangrove
 • Familia Rhizophoraceae

Users also searched:

...
...
...