Back

ⓘ Chawa-vitabu
Chawa-vitabu
                                     

ⓘ Chawa-vitabu

Chawa-vitabu au chawa-vumbi ni wadudu wadogo wa familia Liposcelididae na Trogiidae katika oda Psocoptera ambao hawana mabawa. Takriban spishi zote zinaishi katika majengo ambamo hula maada za wanga, k.m. ambo katika vitabu.

Wadudu hawa wana umbo wa nzi-gome bila mabawa.

                                     

1. Spishi kadhaa za Afrika ya Mashariki

  • Cerobasis guestfalica
  • Liposcelis angolensis
  • Lepinotus angolensis
  • Lepinotus inquilinus
  • Liposcelis annulata
  • Lepinotus fuscus
  • Trogium apterum
  • Trogium pulsatorium
  • Liposcelis bostrychophila

Users also searched:

...
...
...