Back

ⓘ Kukingiwa dhambi ya asili
Kukingiwa dhambi ya asili
                                     

ⓘ Kukingiwa dhambi ya asili

Kukingiwa dhambi ya asili ni fundisho rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu Bikira Maria, kwamba alitungwa mimba bila kurithi dhambi ya asili.

Alipewa na Mungu fadhili hiyo kwa kutanguliziwa stahili za Yesu Kristo, mwanae.

                                     

1. Historia

Imani hiyo katika utakatifu usio na doa wa Maria ilishikwa na Wakristo tangu kale.

Hata hivyo mjadala wa wanateolojia uliendelea muda mrefu kuhusu uwezekano wa fadhili hiyo kuhusiana na imani ya kwamba Mkombozi pekee wa binadamu wote ni Yesu.

Kati ya watetezi wakuu wa fadhili hiyo walijitokeza Ndugu Wadogo, kuanzia Yohane Duns Skoto.

Hatimaye dogma hiyo ilitangazwa mwaka 1854 kwa hati Ineffabilis Deus ya Papa Pius IX.

Miaka minne baadaye huko Lurdi mtoto Bernadeta Soubirous alisema kuwa ametokewa mara kadha na mwanamke ambaye hatimaye alijitambulisha "Ndimi Kukingiwa Dhambi ya Asili".

                                     

2. Katika liturujia

Kanisa la Kilatini linaadhimisha fumbo hilo kama sherehe tarehe 8 Desemba. Siku hiyo katika nchi mbalimbali ni sikukuu ya amri kwa Wakatoliki, na pengine sikukuu ya kitaifa.

                                     

3. Marejeo

 • Le Franc, Martin. The Conception of Mary -- A Rhyming Translation of Book V of Le Champion des Dames by Martin Le Franc 1410-1461. Ed. and trans. Steven Millen Taylor. Lewiston, NY: The Edwin Mellen Press, 2010.
                                     

4. Viungo vya nje

 • Original Sin According To St. Paul by John S. Romanides
 • Catholic Encyclopedia entry on the Immaculate Conception
 • The Immaculate Conception. A study by a Melkite archimandrite Archived Mei 10, 2007 at the Wayback Machine.
 • St. Alphonsus Liguoris writing on the Immaculate Conception in his book The Glories of Mary
 • The Immaculate Conception of the Mother of God based on Juniper Carols Mariology and William Bernard Ullathornees book
 • Mark I. Miraville editor, "Mariology: A Guide for Priests, Deacons, Seminarians, and Consecrated Persons
 • Ineffabilis Deus Apostolic Constitution of Pope Pius IX defining the dogma of the Immaculate Conception
 • Catholic Encyclopedia entry on Original Sin
 • Godzinki: The Little Hours of the Immaculate Conception
 • "St. Augustine and Original Sin" - a short article on the different understandings of Original Sin in Eastern and Western Christianity, without distinguishing Protestant theology from Roman Catholic. The latter holds that "original sin does not have the character of a personal fault in any of Adams descendants" Catechism of the Catholic Church, 405.
 • The Immaculate Conception in Art Painting
 • Catechism of the Catholic Church "Conceived by the Power of the Holy Spirit and Born of the Virgin Mary"


                                     
 • Shirika la Kukingiwa Dhambi ya Asili Ordo Inmaculatae Conceptionis au Wakonsesyoni, ni shirika la wanawake wamonaki lililoanzishwa mwaka 1484 huko
 • mtawa Mfaransa aliyeanzisha shirika la Masista wa Bibi Yetu wa Kukingiwa Dhambi ya Asili wa Castres. Alitangazwa mwenye heri na Papa Benedikto XVI tarehe
 • akawa mwanzilishi wa masista wamonaki wa Shirika la Bikira Maria Kukingiwa Dhambi ya Asili Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu bikira. Sikukuu
 • Tanzania Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sherehe ya Bikira Maria Kukingiwa dhambi ya asili lakini pia kumbukumbu za watakatifu Makari
 • Kupaa Bwana, Mwili na Damu takatifu sana ya Kristo, Mtakatifu Maria Mama wa Mungu, Kukingiwa dhambi ya asili na Kupalizwa kwake mbinguni, mtakatifu Yosefu
 • alihamia Brazil akaanzisha shirika la Masista Wadogo wa Kukingiwa Dhambi ya Asili kwa ajili ya kuhudumia maskini. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye

Users also searched:

...
...
...