Back

ⓘ Abrahamu Fukara
                                     

ⓘ Abrahamu Fukara

Abrahamu Fukara alikuwa mmonaki wa Misri katika karne ya 4 BK.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 27 Oktoba iliyo sikukuu yake.

                                     

1. Maisha

Alizaliwa Menuf Misri akawa kwa miaka 23 mfuasi wa Pakomi aliyeanzisha monasteri kwenye delta ya mto Nile.

Baadaye aliishi miaka 17 kama mkaapweke katika pango, lakini watu walimfahamu wakampa majina mbalimbali kama "mdogo", "mnyofu" na "fukara".