Back

ⓘ Luigi Carlo Borromeo
Luigi Carlo Borromeo
                                     

ⓘ Luigi Carlo Borromeo

Luigi Carlo Borromeo alikuwa askofu Mkatoliki nchini Italia.

Alipata upadrisho tarehe 30 Machi 1918.

Tangu 1951 hadi 1952 alikuwa askofu msaidizi wa Jimbo la Lodi, akawa askofu wa Jimbo la Pesaro hadi kifo chake.