Back

ⓘ Károly Sándor Pallai
Károly Sándor Pallai
                                     

ⓘ Károly Sándor Pallai

Shahada ya udaktari katika fasihi ya Kifaransa kwa kutafiti fasihi ya Visiwa vya Karibi, Bahari ya Hindi, na Pasifiki.

Hasa ameandika mashairi yanayohusu uhuru, haki za binadamu, falsafa na utambulisho. Amechapisha mashairi katika lugha kumi za duniani kote.

                                     

1. Tuzo

  • 2016: Tuzo Naji Naaman: Tuzo Fikra Lebanoni
  • 2015: Programu ya Taifa Vipaji
  • 2016: Programu ya Taifa Vipaji
  • 2016: Junior Templeton Fellow
  • 2013: Mawaziri shukrani wizara ya utamaduni, Shelisheli
  • 2016: Tuzo Szabó Lőrinc
  • 2013: 50 vijana vipaji Hungaria
                                     

2. Marejeo

  • KÁROLY, Fellinger, Bétonnière ivre, Paris, Éditions du Cygne, 2015, p. 103. ISBN 978-2-84924-428-9
  • GOVINDEN, Gerard," Young oceanist among the greatest minds of his generation”, Seychelles Nation, 28 Aprili 2016, p. 5.
  • ZHI, Zhang & TINGJIE, Lai mhariri, World Poetry Yearbook 2014, Uchina, The Earth Culture Press, 2015, pp. 170-171. ISBN 978-0-9712188-1-9/A

Users also searched:

...