Back

ⓘ Leptospirosis
Leptospirosis
                                     

ⓘ Leptospirosis

Leptospirosis Majina mengine ya Kiingereza ni rat catchers yellows na pretibial fever miongoni mwa majina mengineyo.

Ugonjwa huu ni maambukizo yasababishwayo na bakteria za Leptospira. Dalili zinaweza kuenea kuanzia na kuumwa kwa kichwa, maumivu ya musuli, na homa; hadi damu kutoka mapafu vikali au homa ya uti wa mgongo.

Kama uambukizo unamsababishia mgonjwa kuumia homa ya manjano, kuzuia figo kutofanya kazi pamoja na kutoka kwa damu, matokeo ni maradhi yajulikanayo Weils disease. Kama maradhi yanasababisha damu kutoka kwa wingi mapafuni yanajulikana kama mlimbiko dalili za damu kutoka mapafuni kwa wingi severe pulmonary haemorrhage syndrome.

                                     

1. Chanzo na uaguaji

Hadi aina 13 za ukuaji tofauti za" Leptospira” zinaweza kuumiza binadamu. Maradhi haya yanaambukizwa na wanyama wafugwa pamoja na wanyama porini. Wanyama wa kawaida wenye kuambukiza nidhidi ya bakteria ama kutambulisha DNA yake katika damu.

                                     

2. Ugangakinga na matibabu

Bidii zenye kuzuia maradhi haya ni pamoja na vifaa vyenye kinga kuzuia kugusana na wanyama ambao huenda wameambukizwa, halafu kunawa vizuri baada ya kazi inayowahusika wakiwa na wanyama wale. Pia kupunguza idadi ya panya katika sehemu ambako watu wanaishi na kufanya kazi. Maradhi ya Well yakiwa pamoja na mlimbiko dalili za damu kutoka mapafuni kwa wingi unasababisha kima za kifo zinazozidi 10% na 50% kila namna, hata kama matibabu yanapatikana. ref name=McB2005/>

                                     

3. Elimumaambo

Inakadiriwa ya kuwa watu milioni saba hadi kumi wanaambukizwa na" leptospirosos kila mwaka. Idadi ya vifo inayosababishwa haijathibitishwa. Maradhi haya yanapatikana zaidi katika mazingira ya joto jingi ya dunia lakini yanaweza kuumia kokote kule. Milipuko wa maradhi haya inayosambaa upesiupesi pengine inaweza kutokea katika sehemu masikini sana za miji mikubwa ya nchi tajiri. Maradhi haya yalielezwa kwa mara ya kwanza na Daktari Weil nchini Ujerumani mnamo mwaka wa 1886. Wanyama wanaoambukizwa huenda hawana dalili, ama dalili zisizo kali, au dalili kali. Dalili zenyewe zinaweza kutofautisha kutokana na mnyama husika. Wanyama wengine Leptospira huishi katika njia ya uzazi, inayoongozea kuambukiza katika unono.

                                     
  • kuelekea wanadamu. Panya pia huhusishwa na magonjwa ya mifugo kama leptospirosis salmonellosis, toxoplasmosis n.k. Panya wamefugwa tangu karne ya 19
  • ubongo Kutapika Kuvuja damu baada ya kuzaa Lango: Tiba Leishmaniasis Leptospirosis Libido Maambukizi nyemelezi Maambukizi ya mfumo wa viungo vya mkojo

Users also searched:

...
...
...