Back

ⓘ Lukio wa Kurene
                                     

ⓘ Lukio wa Kurene

Lukio wa Kurene kadiri ya Matendo ya Mitume 13ː1 alikuwa nabii na kiongozi mmojawapo wa Kanisa la kwanza huko Antiokia, jiji la Syria katika Dola la Roma.

Kwa kuzingatia dondoo lingine la Luka mwinjili Mdo 11ː19-20 inafikiriwa alikuwa kati ya Wakristo wa kwanza waliochukua jukumu la kuwapasha watu wa mataifa habari njema ya Yesu Kristo.

Anatajwa pia kama askofu wa kwanza wa Kurene, mji wake wa asili, uliokuweko Libya mashariki.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 6 Mei.

                                     
  • Wayahudi. Hatimaye Mdo. 13: 1 kinamtajia Lukio wa Kurene kati ya viongozi wa Kanisa huko Antiokia. Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika 21 World Heritage
  • kumbukumbu za watakatifu Lukio wa Kurene Mariano, Yakobo na wenzao, Veneri wa Milano, Benedikta wa Roma, Edbati, Petro Nolasco, Fransisko wa Laval n.k. Wikimedia
  • Simoni wa Kurene, Libya Marko Mwinjili, Misri Apolo, Misri Lukio wa Kurene Libya Kati ya Mapapa wa karne za kwanza watatu walizaliwa Afrika au Roma na wazazi

Users also searched:

...
...
...