Back

ⓘ Magnificat
Magnificat
                                     

ⓘ Magnificat

Magnificat ni jina la utenzi unaotumika sana katika liturujia ya madhehebu mbalimbali ya Ukristo, hasa katika Masifu ya jioni. Jina hilo linatokana na neno la kwanza la wimbo huo katika tafsiri ya Kilatini.

Wimbo huo ni maarufu pia kama Wimbo wa Maria, kutokana na mtunzi wake kadiri ya Injili ya Luka 1:46-55.

Ni mmojawapo kati ya nyimbo nne zinazopatikana katika Injili hiyo.

Humo tunasoma kwamba Bikira Maria alitoa moyoni maneno hayo ya sifa kwa Mwenyezi Mungu akiwa na mimba ndogo ya Yesu baada ya kumshangiliwa na jamaa yake Elisabeti aliyeangazwa na Roho Mtakatifu kuhusu hali yake ya ujauzito na kuhusu ukuu wa mtoto huyo hata akamuita "Mama wa Bwana wangu". Elisabeti alimpongeza Maria kwa baraka hiyo aliyoipata, kubwa kuliko ile ya wanawake wengine wote. Pia alimpa heri kwa imani yake.

                                     

1. Viungo vya nje

 • ChoralWiki: Magnificat
 • "Magnificat". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
 • The Magnificat
 • Exegesis and Sermon Study of Luke 1:46-55: The Magnificat, by Curtis A. Jahn Archived Desemba 18, 2008 at the Wayback Machine.
 • Officium pro defunctis, following the unrevised Vulgate text
                                     
 • Ethereal Library: Theophilus Bede s Library: Theophilus Order of the Magnificat St. Cyril Cyril of Alexandria Nestorian Theology Archived Aprili 14
 • utenzi wa sifa maarufu kwa jina la neno lake la kwanza katika Kilatini, Magnificat Tukio hilo la kusisimua linaadhimishwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo
 • 589 Free sheet music Archived Julai 14, 2006 at the Wayback Machine. Magnificat RV 610 Free sheet music Archived Julai 14, 2006 at the Wayback Machine
 • Yerusalemu Claudio Monteverdi: Vespro della Beata Vergine 1610 J.S. Bach, Magnificat Ave Maria Prelude 1722 Franz Schubert: Ave Maria 1835 Charles Gounod:
 • Requiem Mozart Ein deutsches Requiem Brahms Elijah Mendelssohn Magnificat Bach A Carol Cantata Hendrik Hofmeyr Carmina Bura na Orff Nyimbo
 • Antifona Antiphon O Sapientia quae ex ore Altissimi... ? Antiphon O Adonai II Great Advent Antiphon ? Picha: Schola Gregoriana - Antiphona et Magnificat ogg

Users also searched:

alfagems secondary school fees, taxila secondary school website,

...
...
...