Back

ⓘ Kihonda Kwa Chambo
                                     

ⓘ Kihonda Kwa Chambo

Kihonda Kwa Chambo ni jina la sehemu ya kata ya Kihonda katika manispaa ya Morogoro ambayo inakua haraka sana upande huu wa kaskazini kuelekea Dodoma.

                                     

1. Tatizo la maji

Tatizo la maji limekuwa ni tabu kwa wakazi wa Kihonda kwa sababu maji yanayopatikana ni maji ya chumvi. Kwa upande wa maji ya kunywa ni kazi kupatikana. Tatizo hili linahitaji kutatuliwa kwa namna yoyote nzuri.

Users also searched:

...
...
...