Back

ⓘ Latvia
Latvia
                                     

ⓘ Latvia

Latvia kwa Kilatvia: Latvija au Latvijas Republika, kwa Kilivonia: Lețmō au Letmō Vabāmō ni nchi ya Kibalti katika Ulaya ya Kaskazini.

Imepakana na Estonia, Lithuania, Belarus na Urusi. Uswidi iko ngambo ya bahari ya Baltiki.

Mji mkuu ni Riga.

Latvia ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu 1 Mei 2004.

                                     

1. Historia

Kwa muda mrefu Estonia ilikuwa chini ya Wajerumani, Wapolandi na Waswidi, halafu 1710 sehemu ya Dola la Urusi.

Katika miaka 1918-1940 ilikuwa jamhuri halafu miaka 1940-1991 mwanachama wa Umoja wa Kisovyeti.

Baada ya umoja huo wa majimbo 15 kusambaratika, Latvia ilijitangaza nchi huru tena.

Latvia ilijiunga na Umoja wa Ulaya baada ya azimio la Halmashauri Kuu ya Ulaya ya tarehe 13 Desemba 2002 iliyokutana Kopenhagen.

Katika kura ya maoni ya tarehe 20 Septemba 2003 ni 66.9% za Walatvia wote waliokubali azimio hilo.

Latvia iliingia rasmi katika Umoja wa Ulaya tarehe 1 Mei 2004 pamoja na nchi nyingine 9 za Ulaya mashariki.

                                     

2. Watu

Idadi ya watu inapungua, na sasa iko chini ya milioni 2.

Wakazi wengi ni Walatvia 61.6%, halafu Warusi 25.8%, Wabelarus 3.4%, Waukraina 2.3%, Wapolandi 2.1%, Walituania 1.2% na wengine 4.8%.

Lugha rasmi ni Kilatvia, ambayo ni mojawapo ya lugha za Kibalti. Wananchi walipiga kura ya kukataa Kirusi kama lugha rasmi ya pili.

Upande wa dini, wengi 78.5% ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, ingawa 7% tu wanashiriki ibada mara kwa mara. Hasa ni Walutheri 34.2%, Wakatoliki 24.1% na Waorthodoksi 19.4%. Asilimia 21.1 hawana dini yoyote.

                                     

3. Viungo vya nje

 • Rīga Wiki Archived Julai 6, 2005 at the Wayback Machine.
Serikali
 • Latvian Institute
 • Bank of Latvia
 • Ministry of Foreign Affairs of Latvia
 • Parliament of Latvia
 • President of Latvia
 • Statistical Office of Latvia
 • Government of Latvia
Taarifa za jumla
 • Latvia entry at The World Factbook
 • Latvia Online
 • Key Development Forecasts for Latvia from International Futures
 • Britannica Online Encyclopedia
 • Latvia Archived Oktoba 11, 2008 at the Wayback Machine. from UCB Libraries GovPubs
 • Latvia katika Open Directory Project
 • BBC News country profile
 • European Union country profile
Elimu na utamaduni
 • Latvian Cultural Canon
 • Latvian Culture Portal Archived Januari 18, 2013 at the Wayback Machine.
 • Latvian Heritage
 • Latvian Community Archived Februari 3, 2016 at the Wayback Machine.
 • Livonian Culture Portal
 • National Library of Latvia
 • Latvian Music Information Centre
 • Latvian Culture Map
 • State Agency of Cultural Heritage
Utalii
 • Official Latvian Tourism Portal
Ramani Wikimedia Atlas of Latvia


                                     
 • kuanzia mwaka 1999. Ndizo Hungaria, Ucheki, Poland 1999 halafu Estonia, Latvia Lithuania, Slovenia, Slovakia, Bulgaria, Romania 2004 Kroatia, Albania
 • jumuiya kubwa kabisa ya kidini katika nchi zote za Skandinavia, Estonia, Latvia Namibia na jimbo la North Dakota la Marekani. Muundo wao wa kanisa ni ama
 • Studio O, Trans Europe Film na animated katika Rija Films studio katika Latvia na studio zilizopo nchini Hungary. Ilikuwa na mafanikio sana kwamba lilifuatiwa
 • Ugiriki Ureno Hispania Austria Ufini Uswidi Kupro Ucheki Estonia Hungaria Latvia Lithuania Malta Poland Slovakia Slovenia Bulgaria Romania Kroatia Uturuki
 • Estonia Hispania Hungaria Ireland Italia Kroatia Kupro Latvia Lituania Luxemburg Malta Poland Slovakia Slovenia Romania
 • Estonia Hispania Hungaria Ireland Italia Kroatia Kupro Latvia Lituania Luxemburg Malta Poland Slovakia Slovenia Romania
 • Estonia Hispania Hungaria Ireland Italia Kroatia Kupro Latvia Lituania Luxemburg Malta Poland Slovakia Slovenia Romania
 • Estonia Hispania Hungaria Ireland Italia Kroatia Kupro Latvia Lituania Luxemburg Malta Poland Slovakia Slovenia Romania

Users also searched:

...
...
...