Back

ⓘ Majina ya Yesu katika Agano Jipya
Majina ya Yesu katika Agano Jipya
                                     

ⓘ Majina ya Yesu katika Agano Jipya

Majina ya Yesu katika Agano Jipya ni namna mbalimbali za kumuita kwa heshima na katika jitihada za kuweka wazi yeye ni nani kweli, tena ni nani kwetu sisi binadamu.

Pamoja na jina Yesu alilopewa alipotahiriwa siku ya nane baada ya kuzaliwa na Kristo, katika Agano Jipya anaitwa kwa namna nyingine 196kama vile:

 • Nabii
 • Kuhani mkuu
 • Mwalimu
 • Mwana wa Adamu
 • Mwanakondoo wa Mungu
 • Emanueli
 • Mwana wa Daudi
 • Mkate wa uzima
 • Bwana
 • Mfariji au Mtetezi au Msimamizi
 • Mjumbe wa Agano Jipya
 • Mfalme wa Wayahudi
 • Mwana wa Mungu
 • Adamu mpya
 • Alfa na Omega
 • Mwanga wa ulimwengu
 • Mwokozi
 • Nyota ya asubuhi
 • Neno
                                     
 • Msalaba wa Yesu ni msalaba ule ambao Yesu Kristo alisulubiwa juu yake huko Yerusalemu kwa amri ya Ponsyo Pilato siku ya Ijumaa, labda tarehe 7 Aprili 30
 • hali za Yesu Kristo kwa kutegemea kwanza Injili na vitabu vingine vya Agano Jipya lakini pia mapokeo ya Mitume yanavyojitokeza katika mitaguso ya kiekumeni
 • Philippos ni jina la mfuasi wa Yesu Kristo anayeshika nafasi ya tano katika orodha zote nne za Mitume wa Yesu katika Agano Jipya Tangu kale anaheshimiwa kama
 • haja ya kuwa na imani. Kila muujiza ulikuwa na fundisho maalumu. Vitabu vya kale kuanzia karne ya 2 ambavyo havikukubalika katika Agano Jipya la Biblia
 • tunatakiwa kusoma daima Agano la Kale kwa mwanga wa Agano Jipya na kutafuta katika habari za kale mifano inayotusaidia kuelewa mambo ya Yesu na Kanisa 1Kor
 • Yesu hakuacha maandiko yoyote. Habari zake zinapatikana hasa katika Biblia, kwa namna ya pekee katika Injili nne na vitabu vingine vya Agano Jipya Yapo
 • na namna ya kuvipanga katika Biblia ya Kikristo vinamopatikana katika sehemu ya kwanza ambayo inaitwa Agano la Kale na kufuatwa na Agano Jipya lililoandikwa
 • Wayahudi wanamuona Yesu kama mmojawapo kati ya wengi waliojinadi kuwa Masiya katika nyakati mbalimbali za historia ya taifa lao. Yesu anatazamwa kama yule
 • 26: 14 - 16 Ni tofauti na mtume mwenzake Yuda Tadei. Kwa Kigiriki, katika Agano Jipya anaitwa Ιουδας Ισκαριωθ Ioudas Iskariôth na Ισκαριωτης Iskariôtês

Users also searched:

...
...
...