Back

ⓘ Frigia
Frigia
                                     

ⓘ Frigia

Frigia ni jina la ufalme wa zamani, halafu mkoa wa dola la Uajemi katika eneo la nchi ya Uturuki wa leo.

Wakazi walioitwa Wafrigia walitokea Ulaya na kuzungumza lugha iliyofanana kidogo na Kigiriki.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Phrygia at Ancient History Encyclopedia
  • Phrygian Period in Anatolia
  • King Midas and Phrygia Cultural Center Archived Julai 20, 2010 at the Wayback Machine.
  • 1911 Encyclopædia Britannica

Users also searched:

...
...
...