Back

ⓘ Shilo
Shilo
                                     

ⓘ Shilo

Shilo ulikuwa mji wa zamani unaotajwa katika Biblia ya Kiebrania, karibu na Khirbet Seilun, kusini kwa Tirza.

Ulikuwa makao ya hekalu lilipotunzwa sanduku la agano kabla ya hilo kutekwa na Wafilisti wakati wa kuhani Eli na hatimaye kuhamishiwa na mfalme Daudi mjini Yerusalemu, ambapo mwanae Solomoni alilijengea hekalu la fahari.

Nabii Yeremia alichukua Shilo kama kielelezo cha maangamizi yatakayolipata hekalu la Yerusalemu kutokana na Waisraeli kutokubali ujumbe wa toba aliowaletea kutoka kwa Mungu.

                                     

1. Viungo vya nje

  • More Archeology at Tel Shiloh
  • Shiloh in the Jewish Encyclopedia
  • Rabbi Ariel Bar Tzodecks Insight into Shiloh a Kabbalist perspective
  • photos of the Mosaic from Tel Shiloh "Church of the ark found in the west bank"
  • photos of the Mosaic from Tel Shiloh
  • Photos of Tel Shiloh

shilo unaweza ifananisha na makkha kwa tukio zima japo tofaut ni kwmba makkha kuna kaburi la mtume s.w.na shilo lipo sanduku la agano

Users also searched:

...
...
...