Back

ⓘ Lambo la Magenge Matatu
Lambo la Magenge Matatu
                                     

ⓘ Lambo la Magenge Matatu

Lambo la Magenge Matatu ni lambo kubwa nchini China katika eneo la magenge matatu ya mto Changjiang. Ni kati ya malambo makubwa kabisa duniani ikizalisha kiasi kikubwa cha nguvu ya umememaji kati ya malambo yote.

                                     

1. Shabaha ya lambo na eneo la mradi

Lambo lilikamilishwa mwaka 2008 kwa shabaha ya kuzuia mafuriko, kuzalisha umeme, kuendeleza uchukuzi, ufugaji samaki, utalii, kuhifadhi mazingira ya asili, kuboresha mazingira, kuhamisha wakazi katika maeneo ya ustawishaji, kupeleka maji kutoka sehemu ya kusini kwenda sehemu ya kaskazini na kumwagilia maji mashamba.

Sehemu ya juu ya ukingo wa maji ya bwawa ina urefu wa mita 3.035, maji baada ya kulimbikizwa katika hali ya kawaida ni yanakuwa na kina cha mita 175. Bwawa la maji la mradi huo linaweza kulimbikiza jumla ya mita za ujazo bilioni 39.3. Bwawa huwa na urefu wa kilomita 600 hadi mji wa Chongqing.

                                     

2. Mipango ya mradi

Mtu wa kwanza wa kuleta hoja la kujenga lambo hapa alikuwa Sun Yat-sen raisi wa kwanza wa China. Serikali za China na wakati wa vita pia Japan walifanya mipango ya ujenzi.

Katika miaka ya 1980 mradi ulianzishwa upya na kukubaliwa mwaka 1992 kwa kura katika bunge la China. Waziri mkuu Li Peng alikuwa mtetezi mkuu wa mradi. Watu wengi walikuwa na wasiwasi na hii ilikuwa mara ya kwanza ya kwamba mpango wa serikali ya China ilikubaliwa na 2/3 za wabunge pekee kura 1767 za ndiyo, 177 za hapana na 664 za upande wowote. Baadaye maoni ya upimzani yalipihwa marufuku na wapinzani kadhaa walifungwa gerezani.

Ujenzi ulianza mwaka 1994 na bwawa likajaa mwaka 2008. Ualishaji wa umeme ulianza 2009.

                                     

3. Matatizo ya mradi

Sababu za wasiwasi na upinzani ulioendelea hadi mwisho ni kama vile:

 • hatari kwa ekoljia ya mazingira zisizojulikana maana haiwezekani kujua mabadiliko yote yanayofuatana na ujenzi wa lambo kubwa hivi
 • uharibifu au angalau mabadiliko makubwa katika hifadhi ya taifa Mangenge Matatu
 • uhamiaji wa watu milioni 1.24 ambao makazi yao wamefunikwa na maji ya bwawa jipya
 • hatari ya kujaza kwa bwawa kwa matope mtoni usiweza kuendelea kwenye njia ya mto na kuweza kujaza bwawa hivyo kupunguza faida ya lambo
 • hatari kwa mazingira na upotevu wa aina kadhaa za wanyama waliohifadhiwa
                                     

4. Kujisomea

 • Ute Wörner, "Staudamm gefährdet chinesische Fischbestände" in Naturwissenschaftliche Rundschau vol. 58 no. 6 2005 pp. 330-331 Kigezo:Ling
 • Thierry Sanjuan, Rémi Béreau, "Le barrage des Trois-Gorges. Entre pouvoir d’État, gigantisme technique et incidences régionales" in Hérodote nº 102 2001/3 pp. 19-55 Kigezo:Ling
 • Katiana Le Mentec, "Le Barrage des Trois-Gorges: les cultes et le patrimoine au coeur des enjeux" in Perspectives chinoises nº 94 Mar Apr. 2006 Kigezo:Ling
 • Pierre Montavon photographus, Frédéric Koller scriptor, Le fleuve muré. Genavae: Cadrat Éditions, 2007 Kigezo:Ling
 • Andreas Lorenz und Axel Bojanowski, "Erdbeben in China: Forscher warnen vor zerstörerischen Stauseen" in Der Spiegel Online Wissenschaft 29 Apr. 2013 Kigezo:Ling
 • Jens-Philipp Keil, Das Drei-Schluchten-Projekt und seine Auswirkungen auf die sozio-ökonomische Entwicklung im Xiangxi-Einzugsgebiet in der Provinz Hubei, VR China. Gießen: Diplomarbeit, Universität Gießen, 2002 Kigezo:Ling
 • Alexandra Rigos, Zeng Nian. "Die Zähmung des Langen Flusses" in Geo vol. 6 2003 pp. 20–46 Kigezo:Ling
 • Florence Padovani, Effets sociopolitiques des migrations forcées en Chine liées aux grands travaux hydrauliques. 2004. Les Études du CERI, nº 103 Kigezo:Ling
 • Mathias Döring, "Der Drei-Schluchten-Damm am Yangtzekiang" in Wasserkraft und Energie 2004 no. 3 pp. 2–32 Kigezo:Ling
 • Deirdre Chetham, Before the Deluge: The Vanishing World of the Yangtzes Three Gorges. Novi Eboraci: Palgrave Macmillan, 2002.
 • Eckhard Freiwald, Der Drei-Schluchten-Damm in China: Das grösste Staudamm-Projekt der Welt TORO-Verlag, 1997. ISBN 3-922732-83-6 Kigezo:Ling
 • J. Akkermann, Th. Runte, D. Krebs, "Ship lift at Three Gorges Dam, China – design of steel structures Archived Julai 19, 2011 at the Wayback Machine." in Steel Construction vol. 2 2009 no. 2 Kigezo:Ling
 • "Beyond Three Gorges in China" in Water Power & Dam Construction 10 Jan. 2007 Kigezo:Ling
 • Lin Yang, "Chinas Three Gorges Dam Under Fire" in Time 12 Oct. 2007 Kigezo:Ling
 • Achim Gutowski, Der Drei-Schluchten-Staudamm in der VR China: Hintergründe, Kosten-Nutzen-Analyse und Durchführbarkeitsstudie eines großen Projektes unter Berücksichtigung der Entwicklungszusammenarbeit. Bremen: Institut für Weltwirtschaft und Internationales Management, 2000 Kigezo:Ling
 • Luc Merchez, Stéphane Puzin, "Le barrage des Trois-Gorges Chine" in Mappemonde nº 55 1999 pp. 1-5 Kigezo:Ling
 • Dai Qing, The River Dragon Has Come! The Three Gorges Dam and the Fate of China’s Yangtze River and Its People. Armonk Novi Eboraci: Sharpe, 1997. ISBN 0-7656-0205-9 Kigezo:Ling
 • Christine Faustmann, Dreischluchtendamm am Jangtsekiang – Das größte Wasserkraftwerk der Erde. Maturaarbeit Geographie & Wirtschaftskunde Archived Februari 12, 2008 at the Wayback Machine. Hartberg: BG/BRG/BORG, 2002 Kigezo:Ling
 • Weiwei Xian, Bin Kang, Ruiyu Liu, "Jellyfish blooms in the Yangtze estuary" in Science vol. 307 no. 5706 2005 p. 41 Kigezo:Ling


                                     

5. Viungo vya Nje

Kigezo:CommuniaCat

 • Molis Trium Angustiarum series imaginum e caelo factarum apud NASA
 • "Three Gorges Power Plant Animation" apud youtube.com
 • The China Yangtze Power Co. Kigezo:Ling
 • Pelliculae breves de mole constructo apud The Guardian 16 Iun. 2006
 • "Three Gorges Project" apud Chinese National Committee on Large Dams Kigezo:Ling
 • Gregor Overhoff, "3 Schluchten Projekt am Yangtze: Bericht zur ATV-DVWK Reise nach China 21.09. – 05.10.2001 Archived Septemba 30, 2013 at the Wayback Machine." apud Deutsches Talsperrenkomitee Kigezo:Ling
 • Zhou Xiaoqian et al., "Design Features of the Three Gorges: presented at Cigré 2000 Conference, Paris Archived Aprili 14, 2013 at the Wayback Machine." Kigezo:Ling
 • "Three Gorges Dam" apud internationalrivers.org
 • Anke Neugebauer, "Jangtsekiang – ein Fluss zwischen Gestern und Morgen: eine Bildreportage über den Dreischluchten-Staudamm" apud Telepolis, 18 Mar. 2006 pars 1 pars 2 Kigezo:Ling

Majiranukta kwenye ramani: 30°49′23″N 111°00′12″E

                                     
 • lilipungua hadi kuwa na km2 200 pekee. Lilipungua tangu kuundwa kwa Lambo la Magenge Matatu kwenye mto Yangtse. Poyang Lake. World Lake Database. International
 • iliamua kujenga lambo la magenge matatu linalo umbara zake zimeonakana kwa sababu watu milioni 1.5 walipaswa kuhamishwa na tayari tatizo la matope kujaza

Users also searched:

...
...
...