Back

ⓘ Kulala kwa Mama wa Mungu
Kulala kwa Mama wa Mungu
                                     

ⓘ Kulala kwa Mama wa Mungu

Kulala kwa Mama wa Mungu ni sikukuu ya Kanisa ambayo ni maarufu katika Ukristo wa mashariki, yaani Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Makanisa Katoliki ya Mashariki vilevile.

Inaadhimishwa kila mwaka tarehe 15 Agosti baada ya wiki mbili za mfungo.

Inalingana na sherehe ya Maria kupalizwa mbinguni inayofanywa na Kanisa la magharibi siku hiyohiyo.

Neno "kulala" linachukuliwa kwa maana ya "kufa" kabla ya "kufufuliwa" na "kuchukuliwa mbinguni" kwa mwili wake.

                                     

1. Marejeo

 • Shoemaker, Stephen J 2002. Ancient traditions of the Virgin Marys dormition and assumption. Oxford, New York: Oxford University Press. ISBN 978-0-19-925075-2. OCLC 50101584.
                                     

2. Viungo vya nje

 • Celebrating Dormition in the Holy Land Jerusalem
 • Epitaphios of the Theotokos Archived Mei 15, 2007 at the Wayback Machine. Russia
 • Full liturgical and hymnographic texts and readings for the Feast of the Dormition of the Theotokos in English Archived Septemba 5, 2010 at the Wayback Machine.
 • The Dormition of our Most Holy Lady the Mother of God and Ever-Virgin Mary Orthodox icon and synaxarion
 • Icons of the Dormition
 • Icons of the Feast of Dormition
 • Dormition article on Orthodox Wiki
 • Service of the Burial / Lamentations of the Theotokos, forming part of the Feast of the Dormition in English Archived Septemba 6, 2010 at the Wayback Machine.
 • Translation of the Dormition Icon of the Mother of God from Constantinople to the Kiev Caves, Far Caves Feast celebrated May 3
                                     
 • mtume wa mwisho wa Mungu Allah kwa binadamu. Muhammad alizaliwa yatima kwani baba yake alifariki kabla yeye hajazaliwa. Hakuishi sana na mama yake Amina
 • kujifanya Mwanakondoo wa Mungu kama alivyotambulishwa na Yohane Mbatizaji katika mto Yordani. Kwa kujitoa kufa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu na ondoleo
 • kutukuza fumbo la Mungu aliye mmoja tu katika nafsi tatu kadiri ya imani iliyofafanuliwa na mitaguso ya kiekumene. Kwa kawaida Wakristo wa magharibi huwa
 • zinazoadhimisha mateso na kifo chake Ijumaa kulala kaburini Jumamosi na hatimaye kufufuka kwa utukufu Jumapili kwa ufupi: Yesu mteswa, mzikwa na mfufuka
 • bidii zetu zinawahisha ufalme wa Mungu wenye heri isiyo na mwisho. 4. Kutunza unyenyekevu kwa kufuata mifano ya maskini wa Injili ambao ndio waliompokea
 • hupewa mbuzi kama zawadi yake kwa kazi aliyoifanya siku hiyo. Halafu huyo mtani huingia ndani ya nyumba ya mfalme na kulala juu ya kitanda cha mfalme na
 • bure. 15 Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa
 • hutumia muda wao mwingi kulala aidha juu ya miti, kwenye miamba au kwenye nyasi. Chui huwinda kwa utegemezi. Ingawa hupendelea wanyama wa umbo la kati, chui
 • kikaja kuratibiwa kwa mfano wa monasteri: kwamba kimya kikuu kiwe cha kudumu katika kanisa, maktaba, vyumba vya kulala ua na mezani wakati wa kula. Zaidi ya
 • kwa undani na dhana za falsafa na imani za dini na hugusia masuala mengine mengi, kama vile ontolojia, tunu, kusudi, maadili, hiari, uwepo wa Mungu

Users also searched:

akina mama kanisani, habari mwanaichi, mafundisho ya ndoa, mafundisho ya wanawake wakristo,

...
...
...