Back

ⓘ Kugeuka sura
Kugeuka sura
                                     

ⓘ Kugeuka sura

Yesu kugeuka sura ni sikukuu ya liturujia ya Ukristo inayoadhimisha fumbo la maisha ya Yesu linalosimuliwa katika Agano Jipya, hususan katika Injili Ndugu na katika 2 Pet 1:16–18.

Humo tunasoma kwamba Yesu aliongozana na wanafunzi wake watatu, Mtume Petro, Yakobo Mkubwa na mdogo wake Mtume Yohane, hadi mlima kwa lengo la kusali faraghani.

Huko usiku alianza kungaa akatokewa na Musa na Eliya waliozungumza naye kuhusu kufariki kwake Yerusalemu.

Kubwa zaidi, Mungu alimshuhudia kuwa Mwana wake mpenzi akawahimiza wanafunzi hao kumsikiliza.

Tukio linaheshimiwa hasa na Ukristo wa Mashariki na wamonaki wanaoliona mwaliko wa kutazama utukufu wa Mungu uliofichama katika malimwengu, kumbe kwa sala unadhihirika kwa macho ya imani.

                                     

1. Viungo vya nje

 • The Holy Transfiguration of our Lord God and Savior Jesus Christ Orthodox icon and synaxarion
 • "Transfiguration". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
 • Pope Benedict XVI on Transfiguration of Jesus
 • The Mountain of the Transfiguration Archived Februari 12, 2012 at the Wayback Machine. by Michele Piccirillo
 • "The Transfiguration of Our Lord", Butlers Lives of the Saints
                                     
 • Habari za historia ya Wayahudi akitaja kifo cha Yakobo ndugu wa Yesu sura ya 20, 200 2. Mwandishi Mroma Tacitus: huyo aliandika mnamo mwaka 117 ya
 • akiwa shuleni, wakampa jina la utani kama Prince ambalo hatumaye likaja kugeuka na kuwa Fresh Prince Wakati yuujanani mwake, Smith akaanza kurao na
 • mvuto wa mfano alioutoa, lakini pia akitambua haja ya kundi lake dogo kugeuka shirika halisi la kitawa, lenye kanuni maalumu na miundo ya kufaa. Ushahidi
 • Habari za historia ya Wayahudi akitaja kifo cha Yakobo ndugu wa Yesu sura ya 20, 200 2. Mwandishi Mroma Tacitus: huyo aliandika mnamo mwaka 117 ya
 • tatu kuu za Pasaka Pasaka Kipindi cha Pasaka Kupaa Bwana Pentekoste Kugeuka sura Kipindi cha kawaida Mashariki Sikukuu ya msalaba Mfungo wa Krismasi Krismasi
 • tatu kuu za Pasaka Pasaka Kipindi cha Pasaka Kupaa Bwana Pentekoste Kugeuka sura Kipindi cha kawaida Mashariki Sikukuu ya msalaba Mfungo wa Krismasi Krismasi
 • kuwafanya Elisha nabii na Yehu mfalme 1Fal 19: 1 - 18 Hata katika Yesu kugeuka sura mlimani akatokea pamoja na Musa ili wamshuhudie kama wawakilishi wa Torati
 • Ubatizo Arusi ya Kana  Utume wa Yesu  Mifano ya Yesu Miujiza ya Yesu Kugeuka sura Karamu ya mwisho  Msalaba wa Yesu Maneno saba Kifo cha Yesu
 • miaka hiyo. Sanasana ni zile za Mathayo na Luka ambazo kila mojawapo ina sura mbili za kwanza kuhusu Yesu kuzaliwa na kuanza kukua: alivyozaliwa usiku
 • Martin Luther King katika kupigania haki za binadamu bila ya kutumia mabavu. Sura ya 5 1 Yesu alipoyaona makundi ya watu, alipanda mlimani, akaketi. Wanafunzi

Users also searched:

...
...
...