Back

ⓘ Margareta Maria Alacoque
Margareta Maria Alacoque
                                     

ⓘ Margareta Maria Alacoque

Margareta Maria Alacoque alikuwa mwanamke mtawa aliyepata umaarufu kama mwanasala mwenye njozi.

Kufuatana nazo alieneza sana ibada kwa Moyo mtakatifu wa Yesu.

Alitangazwa na Papa Pius IX kuwa mwenye heri tarehe 18 Septemba 1864, halafu Papa Benedikto XV alimtangaza mtakatifu tarehe 13 Mei 1920.

                                     

1. Viungo vya nje

  • katika Encyclopedia Britannica
  • The Life of Saint Margaret Mary Alacoque in her own words
  • The Secret of Saint Margaret Mary Alacoque
  • Sanctuary of Paray-le-Monial | Saint Margaret Mary Alacoque
  • La Vie de Saint Marguerite-Marie Alacoque Archived Februari 13, 2009 at the Wayback Machine. - Biography in French 1923