Back

ⓘ Makrina Mdogo
Makrina Mdogo
                                     

ⓘ Makrina Mdogo

Makrina Mdogo alikuwa mwanamke mmonaki, binti Bazili Mzee na Emelia wa Kaisarea. Alipewa jina hilo kwa heshima ya bibi yake, Makrina Mkubwa, ambaye anaheshimiwa kama mtakatifu pamoja na wajukuu wengine kama Bazili Mkuu, Gregori wa Nisa na Petro wa Sebaste.

Mwenyewe pia anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama mtakatifu bikira.

Sikukuu yake ni tarehe 19 Julai.

                                     

1. Sala yake

Ee Bwana, wewe umetuondolea hofu ya kifo.

Mwisho wa maisha yetu hapa umeufanya mwanzo wa uzima wa kweli.

Kwa kitambo tu utaacha miili yetu ilale usingizi, halafu kwa tarumbeta ya mwisho utaiamsha kutoka usingizini.

Wewe unaukabidhi udongo ukutunzie udongo wako huu ulioufinyanga kwa mikono yako; nawe utauchukua tena na kutoka fungu la kufa, lisilo na muundo, utaugeuza kuwa na uzuri usiokufa.

                                     

2. Marejeo

Kwa Kiswahili

 • PADRE FRIDOLIN, Maisha ya Mtakatifu Makrina - ed. N.M.P. - Ndanda

Kwa lugha nyingine

 • Burrus, V. "Macrinas Tattoo," in D. B. Martin and P. Cox Miller eds, The Cultural Turn in Late Ancient Studies: Gender, Asceticism, and Historiography Durham NC, 2005), 103-116.
 • A. M. Silvas, Macrina the Younger. Philosopher of God, Turnhout, 2008, Brepols Publishers, ISBN 978-2-503-52390-3
 • Nester, Marie Yaroshak. We Are Gods People, God With Us Publications, 2004, p. 99.
                                     

3. Viungo vya nje

 • "St. Macrina the Younger". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
 • Gregori wa Nisa, Life of Macrina
 • Macrina the Younger
 • "St. Macrina, Virgin", Butlers Lives of the Saints
 • Gregori wa Nisa, Dialogue on the Soul and Resurrection
                                     
 • Mzee, na bibi wa Basili Mkuu, Gregori wa Nisa, Petro wa Sebaste na Makrina Mdogo Anaheshimiwa kama mtakatifu na msimamizi wa wajane na wa mapambano
 • Marekani 1988 - Ayo Yusuf, mwimbaji kutoka Nigeria 379 - Mtakatifu Makrina Mdogo bikira mmonaki kutoka Kapadokia Uturuki wa leo 514 - Mtakatifu Papa
 • na dada yao Makrina Mdogo ambao walimuathiri sana tangu utotoni. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Machi. Bibi yake alikuwa Makrina Mkubwa, aliyefundishwa
 • Ndiyo Ndiyo Makari wa Yerusalemu Ndiyo Ndiyo Ndiyo Makrina Mdogo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Makrina Mkubwa Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Makroni wa Thoni Ndiyo

Users also searched:

...
...
...