Back

ⓘ Kiluo (Kenya-Tanzania)
                                     

ⓘ Kiluo (Kenya-Tanzania)

Kiluo ni lugha mojawapo ya Kiniloti inayozungumzwa na Waluo nchini Kenya na pia Tanzania. Jumla ya wasemaji ni zaidi ya milioni 4.4. Hivyo inaongoza kati ya lugha za Kinilo-Sahara.

                                     

1. Marejeo

 • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

 • Capen, Carole Jamieson. 1998. Bilingual Dholuo-English dictionary, Kenya. Tucson Arizona: self-published. Kurasa ix, 322.
                                     

2. Viungo vya nje

 • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
 • lugha ya Kiluo kwenye Multitree
 • lugha ya Kiluo katika Glottolog
 • makala za OLAC kuhusu Kiluo
                                     
 • Kiluo ni jina la lugha mbili tofauti: Kiluo cha Kenya na Tanzania na Kiluo cha Kamerun.
 • yao iko kwenye hatari ya kutokomea kabisa. Wasuba wengi hujitambulisha kama Waluo kwani wameasili wameathiriwa na kuridhia mila na desturi za Kiluo
 • jumla wamezidi milioni 7, mbali na makabila ya jamii hiyohiyo. Lugha yao ni Kiluo Wenyewe hujiita Jaluo na lugha yao Dhulou. Waluo ni mkusanyiko wa kabila
 • azimio la Bunge la Kenya la tarehe 9 Juni 1982 lililofanya Kenya kuwa nchi ya chama kimoja. Sheria hiyo ilizuia jaribio la kiongozi wa Kiluo Jaramogi Oginga
 • inayozungumzwa na Waluo. Ni tofauti na lugha nyingine za Kiluo nchini Uganda, Kenya na Tanzania ingawa zote ziko katika kundi lilelile kilugha. Mwaka wa
 • Kiluo Ber wat 1981 katika Kiluo The graduate 1980 The Island of Tears 1980 Land without Thunder, hadithi fupi 1968 Miaha 1983 katika Kiluo
 • mkoa wa magharibi ya Kenya kando la ziwa Viktoria Nyanza. Mji mkuu ni Kisumu. Mkoa umepakana na Tanzania Uganda halafu mikoa ya Kenya ya Magharibi na Bonde
 • kama Waluo kwani wameasili wameathiriwa na kuridhia mila na desturi za Kiluo Katika jamii ya Wajaluo, wao huwekwa kwenye kikundi kinachojulikana kama

Users also searched:

...
...
...