Back

ⓘ Chasi
                                     

ⓘ Chasi

Chasi ni mojawapo ya lugha za Kikushi zinazotumika nchini Tanzania. Inazungumzwa na Wasi: kabila hili sehemu zote wanazokaa wenyewe huongea lugha hii na ndiyo asili yao ya wazazi wao waliowakuta. Lugha hii si ya Kibantu, kwani huendana na Kifiomi, Kiiraqw na Kiburunge.

Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kialagwa imehesabiwa kuwa watu 30.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi Kialagwa iko katika kundi la Kikushi.

                                     

1. Viungo vya nje

  • lugha ya Kialagwa katika Glottolog
  • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
  • makala za OLAC kuhusu Kialagwa
  • lugha ya Chasi kwenye Multitree
                                     

2. Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. G”teborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Mous, Maarten. 2001. Basic Alagwa syntax. In: New data and new methods in Afroasiatic linguistics: Robert Hetzron in memoriam, uk.125-135. Kuhaririwa na Andrzej Zaborski. Wiesbaden: Otto Harrassowitz Verlag.

Users also searched:

...
...
...