Back

ⓘ Kimakonde
Kimakonde
                                     

ⓘ Kimakonde

Kimakonde ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania na Msumbiji inayozungumzwa na Wamakonde. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakonde iko katika kundi la P20.

Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimakonde nchini Tanzania imehesabiwa kuwa watu 960.000. Pia kuna wasemaji 360.000 nchini Msumbiji.

                                     

1. Viungo vya nje

 • tovuti hiyo ina msamiati wa Kimakonde
 • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
 • lugha ya Kimakonde katika Glottolog
 • lugha ya Kimakonde kwenye Multitree
 • makala za OLAC kuhusu Kimakonde
                                     

2. Marejeo

 • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

 • Liphola, Marcelino. 2001. Aspects of phonology and prosody in Shimakonde. PhD thesis. Ohio State University at Columbus.
 • Lorenz, A. 1914. Entwurf einer Kimakonde-Grammatik. Mitteilungen des Seminars für orientalische Sprachen, 17 III. Abt., uk.46-117.
 • Yukawa, Yasutoshi. 1989. A tonological study of Makonde verbs. In: Studies in Tanzanian languages Bantu linguistics, vol 2, uk.519-560. Tokyo: Institute for the Study of Languages and Cultures of Asia and Africa ILCAA, Tokyo University of Foreign Studies.
                                     
 • hili angalia Makonde Wamakonde ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mtwara. Pia wako Msumbiji. Lugha yao ni Kimakonde Makonde maana
 • Kimakhuwa - Marrevone Kimakhuwa - Meetto Kimakhuwa - Moniga Kimakhuwa - Saka Kimakhuwa - Shirima Kimakonde Kimakwe Kimanyawa Kimanyika Kimarenje Kimwani Kinathembo Kindau Kingoni
 • Kiluguru Kiluo Kimaasai Kimachame Kimachinga Kimagoma Kimakhuwa - Meetto Kimakonde Kimalila Kimambwe - Lungu Kimanda Kimaraba Kimatengo Kimatuumbi Kimbugu
 • kutoka Tanzania. Alipokuwa bado kijana alijifunza kuchonga sanamu jinsi ya Kimakonde Lakini baadaye alianza kuchora pia akitumia hasa rangi za mafuta. Aliishi
 • kutumika kama mboga iitwayo nnabuhulie kule Mtwara: ni neno la lugha ya Kimakonde cha Mtwara linalomaanisha msile kwa mboga nyingi Ming oko haina ladha
 • wa ubao na wachoraji waliojulikana kimataifa. Uchongaji wa mabombwe ya Kimakonde yamesifiwa tangu mwanzo wa karne ya 20. Wamakonde wengi wamehamia Daressalaam

Users also searched:

...
...
...