Back

ⓘ Kiluguru
                                     

ⓘ Kiluguru

Kiluguru ni lugha ya Kibantu inayozungumzwa na Waluguru nchini Tanzania. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiluguru kiko katika kundi la G30.

Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiluguru imehesabiwa kuwa watu 692.000. Lugha hii huzungumzwa hasa na Waluguru wanaopatikana katika mkoa wa Morogoro ambao ni wazawa. Sehemu maarufu kwa kuzungumzwa lugha hii ni: Matombo, maeneo mengine ni tarafa ya Mgeta.

Mfano wa lugha: Hausindile maana yake Umeshindaje, Ukae maana yake Nyumbani, Imwana kolila maana yake mtoto analia.

                                     

1. Marejeo

 • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

 • Mkude, Daniel J. 1974. A study of Kiluguru syntax with special reference to the transformational history of sentences with permuted subject and object. PhD thesis. University of London. Kurasa 335.
                                     

2. Viungo vya nje

 • lugha ya Kiluguru katika Glottolog
 • makala za OLAC kuhusu Kiluguru
 • tovuti hiyo ina msamiati wa Kiluguru
 • lugha ya Kiluguru kwenye Multitree
                                     
 • vijijini ukianzia Matombo kuelekea Dutumi hadi Bwakila Juu. Lugha yao ni Kiluguru Kuna makundi makubwa mawili ya Waluguru. Makundi hayo ni Waluguru wanaoishi
 • Malcolm Guthrie Kividunda iko katika kundi la G30. Kinafanana hasa na Kiluguru lakini pia na Kihehe na lugha nyingine za kandokando. Maho, Jouni & Bonny
 • Kikonongo Kikuria Kikutu Kikw adza Kikwaya Kikwere Kilambya Kilangi Kilogooli Kiluguru Kiluo Kimaasai Kimachame Kimachinga Kimagoma Kimakhuwa - Meetto Kimakonde
 • ambayo hayajaandikwa kwa lugha ya Kiswahili bali yametungwa katika lugha ya Kiluguru Kitabu hiki kimekusanya pia baadhi ya mashairi ya Kiingereza kutoka katika
 • wakazi Wakristo na Waislamu wanaoishi kwa umoja na undugu. Tawa ni neno la Kiluguru lenye maana ya: kusuka, kufuma, kazi ya kufuma, ususi ama kazi ya ususi
 • Gerald Joseph Mloka. Aidha, alishiriki kutunga na kuimba wimbo maarufu wa Kiluguru uliotamba katika sherehe za kitaifa, Matombo, ulioitwa, BABA MWENDA AGAMAFUTA

Users also searched:

...
...
...