Back

ⓘ Kilambya
                                     

ⓘ Kilambya

Kilambya ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania, Malawi na Zambia inayozungumzwa na Walambya. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilambya nchini Malawi imehesabiwa kuwa watu 45.000; nchini Tanzania ni wasemaji 40.000 ; na nchini Zambia kuna wasemaji 2000 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilambya iko katika kundi la M20.

                                     

1. Viungo vya nje

 • lugha ya Kilambya katika Glottolog
 • lugha ya Kilambya kwenye Multitree
 • tovuti hiyo ina msamiati wa Kilambya
 • makala za OLAC kuhusu Kilambya
 • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
                                     

2. Marejeo

 • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

 • Busse, Joseph. 1939/40. Lambya-Texte. Zeitschrift für Eingeborenen-Sprachen, 30 4, uk.250-272.
                                     
 • Walambya ni kabila la watu wanaoishi Tanzania katika Mkoa wa Mbeya, Wilaya ya Ileje. Pia wako Malawi. Lugha yao ni Kilambya
 • inaorodhesha lugha za Malawi: Kiafrikaans Kiingereza Kikachi Kikokola Kilambya Kilomwe cha Malawi Kindali Kinyakyusa Kinyanja Kinyiha cha Malawi Kinyika
 • Kiila Kikaonde Kikhwe Kikuhane pia Kisubia Kikunda Kilala - Bisa Kilamba Kilambya Kilenje Kilozi Kiluchazi Kilunda Kiluvale Kiluyana Kimambwe - Lungu Kimashi
 • Kikisankasa Kikisi Kikonongo Kikuria Kikutu Kikw adza Kikwaya Kikwere Kilambya Kilangi Kilogooli Kiluguru Kiluo Kimaasai Kimachame Kimachinga Kimagoma

Users also searched:

...
...
...