Back

ⓘ Kikuria
                                     

ⓘ Kikuria

Kikuria ni mojawapo ya lugha za Kibantu inayoongelewa na kabila la Wakurya nchini Tanzania na Kenya.

Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kikuria nchini Tanzania imehesabiwa kuwa watu 430.000. Pia kuna wasemaji 260.000 nchini Kenya.

Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikuria iko katika kundi la E40.

Maho 2009 anahesabu Kisimbiti, Kihacha, Kisurwa na Kisweta kama lugha tofauti, si lahaja za Kikurya tu.

                                     

1. Marejeo

 • W. H. Whiteley, The structure of the Kuria verbal and its position in the sentence, University of London, 1955, 161 p. thesis
 • Phebe Yoder, Tata na Baba = Father and Mother: a first Kuria reader, Musoma Press, Musoma, Tanganyika, 1949, 44 p.
 • S. M. Muniko, B. Muita oMagige and M. J. Ruel ed., Kuria-English dictionary, LIT, Hambourg, 1996, 137 p. ISBN 3825829510
 • Jelle Cammenga, Igikuria phonology and morphology: a Bantu language of South-West Kenya and North-West Tanzania, Köppe, Köln, 2004, 351 p. ISBN 3896450298 revised text of a thesis
 • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki cha mwisho kinataja marejeo mengine kama:

 • Dempwolff, Otto. 1914/15. Beiträge zur Kenntnis der Sprachen in Deutsch-Ostafrika. Teil 4: Kulia. Zeitschrift für Kolonialsprachen, 5, uk.26-44, 113-136.
 • Cammenga, Jillert. 1994. Kuria phonology and morphology. PhD thesis. Vrije Universiteit, Amsterdam. Kurasa vii, 306.
 • Rose, Sarah R. 2001. Tense and aspect in Kuria. Afrikanistische Arbeitspapiere, 67, uk.61-100.
                                     

2. Viungo vya nje

 • makala za OLAC kuhusu Kikuria
 • lugha ya Kikuria katika Glottolog
 • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
 • tovuti hiyo ina msamiati wa Kikuria
 • lugha ya Kikuria kwenye Multitree
                                     
 • 430, 000 wanaoishi nchini Tanzania na 260, 000 nchini Kenya. Lugha yao ni Kikuria Abakuria ni wakulima na wafugaji, huku Abakuria wa nchini Kenya wakiegemea
 • Kikahe Kikami Kikara Kikerewe Kikimbu Kikinga Kikisankasa Kikisi Kikonongo Kikuria Kikutu Kikw adza Kikwaya Kikwere Kilambya Kilangi Kilogooli Kiluguru Kiluo
 • Lukabaras Kikalenjin Kikamba Kikeiyo Elgeyo Kikipsigis Kikonkani Goan Kikuria Kikuyu Gikuyu Kilogooli Lulogooli Lugha ya Ishara ya Kenya Kiluyia
 • Kigusii imeainishwa kama lugha ya Bantu ya Kati, kundi moja na Lugha ya Kikuria kundi ambalo limepewa anwani ya E.10 katika makala ya Aina za Lugha za
 • 12, 507 km² Wakazi - Jumla 2007 - Msongamano wa watu km² Nafasi ya 3 kati ya mikoa ya Kenya 4, 889, 700 391 km² Lugha mkoani Kiluo Kigusii Kikuria

Users also searched:

...
...
...