Back

ⓘ Nouadhibou
Nouadhibou
                                     

ⓘ Nouadhibou

Nouadhibou ni mji mkubwa wa pili nchini Mauretania na bandari kubwa ya nchi hiyo. Iko kwenye rasi inayoingia katika Bahari Atlantiki na kilomita chache kusini ya mpaka wa Sahara Magharibi.

Idadi ya wakazi ni takriban watu 80.000. Mji ni kitovu cha kiuchumi kwa sababu ya bandari inayohudumia taifa lote pamoja na kuwa mahali pa kupeleka madini ya chuma ya Zouérate kwenda soko la dunia. Upande mwingine wa uchumi ni uvuvi.

Mji ulianzishwa mwaka 1906 na wakoloni Wafaransa kama kituo cha uvuvi kwa jina la Port Etienne.

Users also searched:

http www azam fc com tz,

...
...
...