Back

ⓘ Nicolaas Louw
                                     

ⓘ Nicolaas Louw

Nicolaas Petrus van Wijk Louw alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Aliandika na kufundisha chuoni hasa kwa Kiafrikaans. Mwaka wa 1945 alianzisha jarida Standpunte. Aliandika maandishi mengi tofauti kama mashairi, tamthiliya, insha na mengineyo.

                                     

1. Maandishi yake

 • Opstelle or Ons Over Digters tahakiki, 1972
 • Raka mashairi, 1941; tafsiriwa kwa Kiingereza 1968
 • Liberale Nasionalisme insha, 1958
 • Tristia mashairi, 1962
 • Die Pluimsaad Waai Ver tamthiliya, 1972
 • Lojale Verset insha, 1939
 • Germanicus tamthiliya, 1956
 • Oh Wide and Sad Land 1975, tafsiri za mashairi yake kwa Kiingereza
 • Vernuwing in die Prosa tahakiki, 1961
                                     
 • Kawabata, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1968 1906 - Nicolaas Louw mwandishi wa Afrika Kusini 1925 - William Styron, mwandishi Mmarekani
 • mmisionari kutoka Uturuki 1234 - Chukyo, mfalme mkuu wa Japani 1221 1970 - Nicolaas Louw mwandishi wa Afrika Kusini 1971 - Paul Karrer, mshindi wa Tuzo ya Nobel
 • Beckett, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1969 11 Juni - Nicolaas Louw mwandishi wa Afrika Kusini 19 Juni - Ernst Boris Chain, mshindi wa
 • Sachs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1966 18 Juni - Nicolaas Louw mwandishi wa Afrika Kusini 1 Agosti - Otto Warburg, mshindi wa Tuzo

Users also searched:

...