Back

ⓘ Bernardo wa Corleone
Bernardo wa Corleone
                                     

ⓘ Bernardo wa Corleone

Bernardo wa Corleone alikuwa bruda wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Italia.

Mwaka 1768 alitangazwa na Papa Klementi XIII kuwa mwenye heri.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu tangu alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II tarehe 10 Juni 2001.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 12 Januari.

                                     

1. Maisha

Filippo Latini aliingia utawa kisha kupigana na Vito Canino kwa panga mwaka 1626.

Shirikani aliishi katika konventi mbalimbali kama ifuatavyo:

 • 1640: Bisacquino
 • 1643: Castronovo
 • 1637: Castronovo
 • 1646: Castronovo
 • 1647: Caltabellotta
 • 1641: Ciminna
 • 1650: Chiusa Sclafani
 • 1642: Chiusa Sclafani
 • 1651: Partinico
 • 1636: Bivona
 • 1644: Agrigento
 • 1639: Sambuca di Sicilia
 • 1648: Burgio
 • 1638: Castelvetrano
 • 1633: Polizzi Generosa
 • 1652-1653: Palermo, alipobaki hadi kifo chake.
 • 1635: Corleone