Back

ⓘ Lionel Abrahams
                                     

ⓘ Lionel Abrahams

Lionel Isaac Abrahams alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Mwaka wa 1957 alianzisha jarida la fasihi lililoitwa The Purple Renoster. Hasa, Abrahams aliandika hadithi fupi na mashairi. Katika riwaya yake The Celibacy of Felix Greenspan, Abrahams alieleza kitawasifu shida za Myahudi, tena aliyepatwa na ugonjwa wa kupooza, katika maisha ya kila siku nchini Afrika Kusini.

                                     

1. Matendo ya Maisha ya Kikazi

Abrahams alifanya kazi ya karani katika kampuni ya babake kuanzia mwaka wa 1950 hadi 1953. Baada ya kuanzisha The Purple Renoster, alilifanyia kazi jarida hilo kama mwandishi na mhariri wake kuanzia 1957 hadi 1972. Halafu alianzisha makampuni mawili ya uchapishaji na kufanya kazi kama mchapishaji: Renoster Books 1970-1974, na Bateleur Press 1974-1981. Kuanzia 1981 hadi 1992 alikuwa mchapishaji wa jarida la Sesame. Pia kuanzia 1976 hadi 2002 alikuwa mwalimu wa uandishaji.

                                     

2. Maandishi yake

  • The Writer in Sand mashairi, 1988
  • Journal of a New Man mashairi, 1984
  • The Celibacy of Felix Greenspan riwaya, 1976
  • A Dead Tree Full of Live Birds mashairi, 1994
                                     
  • Orodha hii ni ya waandishi wa Afrika Kusini. Lionel Abrahams 1928 - 2004 Peter Abrahams 1919 - Hennie Aucamp 1934 - Andrew Geddes Bain 1797 - 1864 Christiaan
  • wa riwaya, na wasomi waliotajwa kulingana na nchi zao. Lionel Abrahams 1928 - 2004 Peter Abrahams 1919 - Hennie Aucamp 1934 - Andrew Geddes Bain 1797 - 1864

Users also searched:

...
...
...