Back

ⓘ Mababu wa jangwani
Mababu wa jangwani
                                     

ⓘ Mababu wa jangwani

Mababu wa jangwani walikuwa wamonaki ambao kuanzia karne III, dhuluma za serikali dhidi ya Wakristo zilipopungua, lakini zaidi karne IV, baada ya Konstantino Mkuu kuruhusu Ukristo katika Dola la Roma, walihama miji na vijiji wakaishi upkeweni kwenye majangwa ya Misri, Palestina na Syria.

Kati yao Antoni Mkuu anahesabiwa kuwa wa kwanza; walau ndiye aliyevutia wengi zaidi kufuata mtindo huo wa utawa.

Mbali ya wanaume abba kulikuwa pia na wanawake amma.

Lengo lao lilikuwa kuishi kwa juhudi baada ya mwisho wa dhuluma za serikali dhidi ya Kanisa. Hivyo walishika nafasi ya heshima na baada ya kufa walitazamwa kama watakatifu karibu na wafiadini.

                                     

1. Misemo yao

Misemo yao Apoftegmata ilikusanywa taratibu ili kudumisha hekima yao nyofu. Kuna pia tafsiri ya Kiswahili:

 • Misemo ya Mababa wa Jangwani Apophthegmata Patrum – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000 –ISBN 0-264-66350-0
                                     

2. Marejeo kwa lugha nyingine

 • Angold, Michael 2006. Eastern Christianity. Cambridge: St. Vladimirs Seminary Press. ISBN 0-913836-11-7.
 • Riddle, John M. 2008. A History of the Middle Ages, 300–1500. Lanham, Md: Rowman & Littlefield Publishers, Inc. ISBN 0-7425-5409-0.
 • Parry, Ken 1999. The Blackwell Dictionary of Eastern Christianity. Malden, MA: Blackwell Publishing. ISBN 0-631-23203-6.
 • Ware, Kallistos 2000. The Inner Kingdom. Crestwood, NY: St Vladimirs Seminary Press. ISBN 0-88141-209-0.
 • Ward, Benedicta 1975. The sayings of the Desert Fathers: the alphabetical collection, Part 1. Mowbrays.
 • Waddell, Helen 1957. The Desert Fathers. Ann Arbor, Mich: University of Michigan Press. ISBN 0-472-06008-2.
 • Nes, Solrunn 2007. The uncreated light: an iconographical study of the transfiguration in the Eastern Church. Wm. B. Eerdmans Publishing. ISBN 0-521-81113-9.
                                     
 • Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Watakatifu wa Afrika Orodha ya Watakatifu Wafransisko Mababu wa jangwani Martyrologium
 • Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Watakatifu wa Afrika Orodha ya Watakatifu Wafransisko Mababu wa jangwani Martyrologium
 • pekee wa familia maarufu wa Aleksandria, alitawa kwenye mlima karibu na mji wa Pelusium, kwa kufuata nyayo za Yohane Mbatizaji na Mababu wa jangwani Pia
 • Theodosius I kwa miaka 11, alihamia jangwani huko Misri ili aishi kama mkaapweke kwa miaka 55. Ni kati ya mababu wa jangwani walioacha athari kubwa zaidi katika
 • Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Watakatifu wa Afrika Orodha ya Watakatifu Wafransisko Mababu wa jangwani Ward, Benedicta
 • Gerasimo wa Yordani Lycia, leo nchini Uturuki - alifariki 475 ambaye, baada ya kwenda Misri kwa mababu wa jangwani aliishi kama mkaapweke nchini Palestina
 • Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Watakatifu wa Afrika Orodha ya Watakatifu Wafransisko Mababu wa jangwani Born a rich
 • wakati wa Kwaresima. Kanuni yake ni ya pekee, ingawa inafuata kwa jumla ile ya Ndugu Wadogo ikiiongezea malipizi makali ya mababu wa jangwani Kaulimbiu
 • ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Watakatifu wa Afrika Orodha ya Watakatifu Wafransisko Mababu wa jangwani Sr. Pascale - Dominique Nau, Psychological Maturity

Users also searched:

...
...
...