Back

ⓘ Aloysius Balina
                                     

ⓘ Aloysius Balina

Aloysius Balina alikuwa Askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Papa Yohane Paulo II mwaka 1984.

Tangu 1997 hadi kifo chake alikuwa askofu wa Jimbo la Shinyanga.