Back

ⓘ Kisima
Kisima
                                     

ⓘ Kisima

Kisima ni jina la ujumla kwa shimo lolote ndefu nyembamba lililochimbwa katika ardhi, aidha kwenda chini au sambamba. Kisima kinaweza kujengwa kwa madhumuni mbalimbali, ikiwa ni pamoja na uchimbaji wa maji au kioevu kingine au gesi, kama sehemu ya uchunguzi wa kiufundi wa ardhi na utathmini wa eneo la mazingira, kwa ajili ya utafutaji wa madini, au kama shimo la majaribio la kusimamisha minara na vifaa vya matumizi chini ya ardhi. Visima kutumika kama visima vya maji inaelezwa kwa kina zaidi katika makala hayo.

Katika nyanja za mashauriano za uhandisi na mazingira, neno hili hutumiwa kuelezea kwa pamoja aina zote mbalimbali za mashimo yaliyochimbwa kama sehemu ya uchunguzi wa kiufundi wa ardhi na utathmini wa eneo la kimazingira,ujulikanao kama Awamu ya Pili ya ESA. Hii ni pamoja na mashimo yanayochimbwa kukusanya sampuli za udongo, sampuli za maji au vipande vya miamba, ili kuendeleza vifaa vya kutengeneza sampuli vya in situ, au kufunga visima vya kufuatilia au piezometer. Sampuli zinazokusanywa kutoka kwa visima mara nyingi upimwa katika maabara kuamua hali zao, au kwa kutathmini viwango vya kemikali mbalimbali au vichafuzi.

Kwa kawaida, kisima kinachotumika kama kisima cha maji kinakamilishwa kwa kufunga mfereji uliosimama na kitunza kisima kushikilia kisima kisiporomoke. Hii pia husaidia kuzuia vichafuzi kutoingia katika kisima na kuzuia pampu yoyote iliyowekwa kuchota mchanga na sedimenti. Ikikamilishwa katika namna hii kisima kwa kawaida kisima cha maji: iwe ni cha maji, mafuta au cha gesi.

                                     

1. Usakinishaji

Visima vinaweza kuchimbwa kwa kutumia mashine kubwa ya kuchimba, au ya kuendeshwa kwa mkono. Mashine na mbinu za kuendeleza kuchimba kisima zinatofautiana kulingana mtengenezaji, hali ya kijiolojia, na lengo kusudi.

                                     

2. Mbadala wa hali ya hewa

Viwango vya joto katika kisima vinaweza kutumika kama mibadala ya joto. Hii ni kwa sababu uhamishaji wa joto kupitia ardhini hufanyika polepole, hivyo kwa kupima joto na kutumia mifumo ya hisabati viwango vya joto vya zamani vinaweza kurejelewa miaka mia kadhaa mbeleni Huang et al. 2000

Kisima cha uyeyukaji wa barafu hakina maji machafu kama ilivyo lkatika visiwa vya mawe. Kisima cha Central Greenland huonyesha:

joto zaidi ya miaka 150 iliyopita ya wastani wa 1 ° C ± 0.2 ° C iliitangulia na karne chache zenye baridi. ililotangulia hii ilikuwa kipindi cha joto katika AD 1000, ambacho kilikuwa na joto kuliko karne ya 20 kwa wa 1 ° C.

                                     

3. Viungo vya nje

 • Jinsi ya kuchunguza kutu na uharibifu mwingine kwenye visima
 • Ufuatiliaji wa Kisima
 • Ushauri wa kiufundi wa jinsi ya kuchimba kisima
 • Mwongozo kuhusu upimaji wa visima, magonjwa yanayohusiana na visima, n.k. to US Center for Disease Control and Prevention
 • Visima kama chanzo cha maji cha kibinafsi Archived Januari 10, 2010 at the Wayback Machine.
                                     
 • Kibibi, Kibibi Kaskazini, Kibibi Kusini, Kimi, Kiraza, Kiregi, Kirugu, Kisima Kitobo, Kiwa, Komogwe, Koome, Kuiye, Kyanga, Lambu, Lebu, Limaiba, Linga
 • hadi gari. Mfano mwingine ni pampu ya maji inayovuta maji kutoka shimo la kisima hadi mdomo wake au moja kwa moja hadi ndani ya nyumba. Kuna aina mbalimbali
 • mpakani kati ya Uingereza na Scotland. Huanzia katika Tweedsmuir katika kisima cha Tweed karibu na Clyde. Humwaga maji yake katika eneo hili la mpaka.
 • wakati mwingine hata na bwawa. Mahali pengine wakazi wa jangwa wamechimba kisima kirefu pasipo na mimea kinachosaidia maji ya watu na wanyama hasa wa misafara
 • albamu yake ya Simama Mwaka wa 2003 alishinda tuzo mbili katika 2Tuzo za Kisima kama Msanii Bora wa Kike Msanii Bora wa Kike wa muziki wa Injili ya Kisasa
 • Kisiwa cha Kiraza Kisiwa cha Kiregi Uganda Kisiwa cha Kirugu Kisiwa cha Kisima Kisiwa cha Kisozi Kisiwa cha Kitobo Kisiwa cha Kiwa Uganda Kisiwa cha

Users also searched:

...
...
...