Back

ⓘ Mbegu za waigizaji filamu
                                               

Aidan Gallagher

Aidan Gallagher ni muigizaji wa Marekani ambaye anaigiza kwenye kampuni ya Nickelodeon ambaye kabla ya kuwa muigizaji wa nickelodeon alishawahi kuigiza movie inayoitwa "you and me" movie hiyo haikuwa maarufu sana wala kuangaliwa na watu wengi hivyo akaamua kujiunga na nickelodeon. Hivyo akashirikishwa kwenye movie ya nickelodeon iitwayo Nicky, ricky, dicky & dawn ambaye yeye alichukua sehemu ya nicky harper. Movie nyingine ambazo ameshawahi kuigiza ni Mwaka jina la movie sehemuya Notes 2013 Modern Family Alec Episode: "The Wow Factor"; uncredited 2014–2018 Nicky, Ricky, Dicky & Dawn Nicky ...

                                               

Aisha Kyomuhangi

Aisha Kyomuhangi ni mwigizaji, mwimbaji na muandaji wa filamu kutoka Uganda. Aliandaa filamu ijulikanayo kama Kigenya Agenya. Pia ni mwanachama wa Bakayimbira Dramactors, majo ya kikundi cha maigizo.

                                               

Akira Kurosawa

Akira Kurosawa alikuwa mwongozaji wa filamu wa Kijapani. Filamu nyingi za Kurosawa zilikuwa maarufu sana katika Ujapani. Na zilikuwa zikipendwa na watu wengi tu duniani.

                                               

Alphonse Menyo

Alizaliwa Accra, Ghana. Baba yake, Bernard Menyo, alitokea Afrika Mashariki na aliwahi kuwa mwanafunzi wa National Film and Television Institute NAFTI. Bernard alishinda tuzo kwenye Panafrican Film and Television Festival of Ouagadougou FESPACO kutokana na filamu ya Whose fault. Mama yake Menyo, Eugenia, ametokea Ghana ana fanya kazi katika shirika lisilo la kiserikali.

                                               

Anel Alexander

Katika shule ya upili, Anel alishinda mwigizaji bora anayeunga mkono katika mashindano ATKV ya vijana. Baada ya kucheza Liezl katika 7de Laan, pia aliigiza katika vichekesho vichache vya kimapenzi, ambavyo ni "Semi-Soet" na "Klein Karoo". Mnamo 2013, aliigiza katika safu ya maigizo ya Kiafrikana inayoitwa "Geraamtes in die kas". Baadaye mwaka huo, alishinda tuzo ya {kykNET} Silwerskermfees kwa mwigizaji bora anayeunga mkono jukumu lake katika "Faan Se Trein". Anel amecheza filamu ya 2008 Discreet pamoja na mumewe James Alexander.

                                               

Ingmar Bergman

Ernst Ingmar Bergman alikuwa mwigizaji na mwongozaji wa filamu wa Kiswidi. Yasemekana kwamba Bergman ndiye mwanzilishi na mjuzi zaidi wa kutengeneza filamu za kisasa. Watengenezaji wengi wa filamu duniani wamekiri kwamba kazi zao zimeathiriwa na kazi za Bergman, baadhi yao Wamarekani Woody Allen na Robert Altman, mwongozaji filamu wa Urusi Andrei Tarkovsky na mwongozaji filamu wa Japani Akira Kurosawa.

                                     

ⓘ Mbegu za waigizaji filamu

  • Ilitengenezwa pamoja na Verbinski na Graham King na John B. Carls, filamu hiyo inaangazia sauti za Johnny Depp, Isla Fisher, Bill Nighy, Abigail Breslin, Alfred
  • Smosh ni jina la kisanii la waigizaji wa filamu na wachekeshaj wawili, yaani Ian Andrew Hecox amezaliwa 30 Novemba, 1987 na Anthony Padilla amezaliwa
  • Guardians of the Galaxy ni filamu ya mashujaa ya Marekani iliyotengenezwa na Marvel Comics na kuachiwa na studio za Marvel na kusambazwa na Walt Disney
  • amepata kushirikiana na waigizaji filamu waliomashuhuri duniani kama vile Jackie Chan, Jet Li na Michelle Yeoh. Sinema za China Sinema za Hong Kong Donnie Yen
  • 1988 ni mwigizaji na mtayarishaji wa filamu India anayefanya kazi katika filamu za Kihindi. Mmoja wa waigizaji maarufu na anayelipwa zaidi nchini India
  • sehemu ya pili Adiós, Sabata kutokana na mgongano wa ratiba za waigizaji katika filamu Lee Van Cleef amerudi tena kwa jina la Sabata, ambaye anaelekea
  • ni mwigizaji wa filamu mwanamitindo, mwimbaji na mwanaharakati wa haki za wanyama wa Kifaransa. Bardot pia ni miongoni mwa waigizaji - waimbaji waliokuwa
  • Johnny Capps. Filamu hii ilitolewa mnamo Agosti 2008 nchini Uingereza na kusambazwa duniani kote, Merlin ni moja kati ya filamu bora za mfululizo duniani
  • ya nchini Hispania. Gracia bado anaendelea kujishughulisha na masuala ya ugizaji wa filamu Waongozaji na Waigizaji wa filamu za Western. Kigezo: IMDb
  • ulimwengu inayojulikana kwa watendaji wakuu na waigizaji wa ulimwengu huu. Watu milioni 135 wameona filamu zake zikimfanya kuwa bingwa wa ofisi ya sanduku
                                               

Aremu Afolayan

Aremu Afolayan ni Myoruba kutoka jimbo la Kwara. Ni mmoja wa watoto wa muongozaji wa filamu maarufu na mfanya michezo ya maigizo ya jukwaani Ade Love. Alianza kujulikana zaidi katika filamu ya Idamu akoto ya mwaka 2009.

Arthur Edmund Carewe
                                               

Arthur Edmund Carewe

Alizaliwa huko Trabzon Trebizond, Dola la Osmani, Carewe alitoka katika familia ya kitajiri katika nchi yake ya asili. Baba yake, Garo, alikuwa akifanya biashara katika benki na alichukua ujuzi kutoka nafasi zake katika bunge la kitaifa na bodi ya elimu. Baba yake alifariki mwaka 1892 katika mauaji ya Hamidian.

Oshri Cohen
                                               

Oshri Cohen

Oshri Cohen ni mwigizaji wa filamu kutoka Israel. Alianza kama mwigizaji wa michezo ya watoto na amehusika katika michezo La Vie devant soi, …, sinema Lebanon,… na mfululizo wa televisheni Homeland ….

Madhubala
                                               

Madhubala

Mumtaz Jehan Begum Dehlavi alikuwa mwigizaji wa filamu wa India ambaye alionekana kwenye filamu za Kihindi. Alifanya kazi kati ya miaka 1942 na 1964. Alijulikana kwa uzuri wake, na utu. Alijulikana pia kama Uzuri Pamoja na Msiba na Malkia wa Zuhura wa Sinema ya India. Kulinganisha kwake na mwigizaji wa Hollywood Marilyn Monroe kumempa jina Marilyn Monroe wa Sauti.

                                               

Njeri Luseno

Njeri Luseno ni mwigizaji wa kike wa Kenya. Amefanya kazi na waigizaji kama Paul Onsongo na John Sibi Okumu na kuwashirikisha kwenye filamu nyingi za kikenya mwa miaka ya 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 1990.

Patrick Ssenjovu
                                               

Patrick Ssenjovu

Patrick Ssenjovu ni mwigizaji wa filamu na wa michezo ya jukwaani. Pia ni muongozaji na mtayarishaji wa filamu. Filamu zake nyingine zilikuwa kama The Honourable and Murder in the City, a story based on Aggrey Kiyingi upon the murder of his wife, Robinah Kiyingi.

                                               

Tawanda Manyimo

Tawanda Manyimo ni mwigizaji wa filamu mwenye asili ya Zimbabwe. Manyimo alizaliwa katika jiji la Bulawayo na kupata elimu ya msingi katika shule ya Tennyson Primary School pamoja na shule ya Milton High School, zote za nchini Zimbabwe. Manyimo akiwa na umri wa miaka 22 aliacha kazi nchini Zimbabwe na kuhamia New Zealand. Manyimo anaishi Titirangi.

Users also searched:

...
...
...