Back

ⓘ Mbegu za Wakristo
                                               

Abadiu wa Antinoe

Abadiu wa Antinoe alikuwa askofu wa mji huo wa Misri aliyefia dini yake katika dhuluma ya Waario dhidi ya walioshika imani sahihi ya Kikristo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Desemba.

                                               

Abaidus

Abaidus ni kati ya Wakristo wa Ethiopia. Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Oktoba.

                                               

Guillermo Martín Abanto Guzmán

Guillermo Martín Abanto Guzmán ni askofu msaidizi Mkatoliki nchini Peru. Aliwekwa wakfu na Kardinali Cipriani Thorne mwaka wa 2009. Tangu mwaka huo ni askofu msaidizi wa Dayosisi ya Lima na askofu wa Dayosisi ya Pinhel.

                                               

Abdel Messih El-Makari

Abdel Messih El-Makari alikuwa mmonaki padri wa Kikopti. Anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

                                               

Abeluzius

Abeluzius ni kati ya Wakristo wa Ethiopia. Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari.

                                               

Abili wa Aleksandria

Abili wa Aleksandria alikuwa askofu wa tatu wa mji huo wa Misri. Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Februari.

                                     

ⓘ Mbegu za Wakristo

  • Mungu Baba ni nafsi ya kwanza ya Mungu katika imani ya Wakristo isipokuwa Wasiosadiki Utatu Katika Uyahudi Mungu aliitwa pengine Baba kwa jinsi alivyo
  • yanayounda Kanisa Katoliki. Ndiyo kubwa kuliko yote 97 za waumini wote likiwa na Wakristo zaidi ya bilioni 1 duniani kote. Mengine ni Makanisa Katoliki
  • katika kaunti ya Tana River. Lugha yao ni Kipokomo, mojawapo kati ya lugha za Kibantu ambayo inafanana na Kiswahili. Wengi wao ni Waislamu na Wakristo
  • Wayahudi na Wakristo Siku muhimu zaidi ni Ijumaa ambako Waislamu hukusanyika kwa ajili ya sala ya pamoja. Kwa Kiarabu majina ya siku za juma hufuata
  • kwamba mwaka 2015, 50.1 ya wakazi hawakuwa na dini yoyote, 43.8 walikuwa Wakristo 23.7 Wakatoliki, 21.1 Waprotestanti, hasa Wakalvini, 4.9 Waislamu
  • Lugha yao ni Kioromo, kubwa kuliko zote kati ya lugha za Kikushi. Wengi wao ni Waislamu na Wakristo Donald N. Levine 2014 Greater Ethiopia: The Evolution
  • Mdo 4: 32 - 35 Ushirika wa Wakristo leo unaonekana tofauti katika mambo mbalimbali. Tusishangae: Yesu alitumia mfano wa mbegu ndogo inayotarajiwa kuwa mti
  • na lugha rasmi ni Kiarabu. Kati ya nchi za Waarabu Lebanoni ni nchi pekee yenye wakazi wengi ambao ni Wakristo wa madhehebu mengiː walau ilikuwa hivyo
  • jumla Waslavi mara nyingi ni Wakristo wa Kiorthodoksi, wasemaji wa lugha za Kiturki ni zaidi Waislamu, na wenye lugha za Kimongolia mara nyingi hufuata
                                               

Amma Talida

Amma Talida alikuwa bikira abesi wa monasteri huko Antinoe. Palladius aliyefariki 431 aliandika vizuri sana juu yake baada ya kumfahamu akiwa mzee wa miaka 80 na kuongoza masista 60 hivi. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Januari.

Joseph Bilczewski
                                               

Joseph Bilczewski

Josef Bilczewski alikuwa askofu mkuu wa Lviv kuanzia mwaka 1900 hadi kifo chake. Bilczewski alisaidia watu kwa kila namna wakati wote wa Vita vikuu vya kwanza, akajaribu kupatanisha Wapolandi na Waukraina waliochukiana na kupigana, akaendelea baada ya Wakomunisti kuteka nchi hizo mbili. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 26 Juni 2001 halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 23 Oktoba 2005. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

                                               

Frumensi wa Susa

Frumensi wa Susa alikuwa Mkristo wa Kanisa Katoliki katika mji wa Susa. Aliuawa katika dhuluma ya Huneriki, mfalme wa Wavandali, pamoja na Viktoriani na wengineo. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Machi.

                                               

Iyasus Moa

Iyasus Moa alikuwa mmonaki wa Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia na abati wa Istifanos Monastery kwenye Ziwa Hayq, Amba Sel. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Desemba.

Sipriani Iwene Tansi
                                               

Sipriani Iwene Tansi

Sipriani Iwene Tansi, O.C.S.O. alikuwa padri mmonaki. Anaheshimiwa na Wakatoliki kama mwenyeheri, wa kwanza kutoka Nigeria, tangu alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II tarehe 22 Machi 1998. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Januari.

Users also searched:

...
...
...