Back

ⓘ Mbegu za watu
                                               

Abdallah Possi

Dk. Abdallah Saleh Possi ni balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani. Amekubaliwa pia kama balozi Austria, Bulgaria, Ucheki, Ukulu mtakatifu, Hungaria, Poland, Romania na Uswisi. Kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi, Dk Possi aliwahi kuwa mbunge na naibu waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia watu wenye ulemavu. Hapo awali, alifanya kazi kama mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dodoma nchini Tanzania. Alikuwa pia wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania na mkufunzi katika Taasisi ya Tawala za Mahakama huko Lushoto, Tanga, Tanzania. Anashikilia LL. B. na LL. M. kutoka Chuo K ...

                                               

Yael Abecassis

Bella ciao 2001, Nella Sipurei Tel-Aviv 1992, Sharona Haïm Ze Haïm 2003 Until Tomorrow Comes 2004, Daughter Kadosh 1999, Rivka Hunting Elephants 2013, Dorit Prisoners of War 2010, Talia Klein Hakita Hameofefet 1995 Survivre avec les loups 2007 Maria, figlia del suo figlio 2000, Mary of Nazareth Zarim Balayla 1993 Va, vis et deviens 2005, Yael Harrari Sans moi 2007, Marie Ha-Yerusha 1993 Lenfant dIsrael 1997 Papa 2005/II, Léa Miss Entebbe 2003, Elise Passeur denfants 1997, Yael Shiva 2008, Lili Ballo a tre passi 2003 Alila 2003, Gabi Pour Sacha 1991, Judith Lenfant de la terre promise 1997, ...

                                               

Abela Paul Bateyunga

Abela Paul Bateyunga ni mjasiriamali na mwanasheria wa Tanzania, mshauri wa vijana na mwanzilishi na mkurugenzi mtendaji wa shirika liitwalo Tanzania Bora, Sanaa pia ni mwanzilishi wa mradi uitwao She codes for change. Abela ni mtu wa vyombo vya habari, msemaji wa umma na mwenye nguvu. Ameongoza na kushawishi idadi kadhaa ya vijana Watanzania katika masuala mbalimbali ya kiuongozi.

                                               

Adam David Lallana

Adam David Lallana ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kiungo wa kushambulia klabu ya Ligi Kuu ya Liverpool ya Uingereza timu ya taifa ya Uingereza. Lallana alianza kazi yake ya ujana na Bournemouth kabla ya kuhamia Southampton mwaka 2000, ambako alianzishwa katika taasisi yao na akawa mtaalamu mwaka 2006. Baada ya mkopo mfupi kwa Bournemouth alivunja timu ya kwanza ya Southampton kama walipata michango miwili kutoka Ligi ya Kwanza hadi Ligi Kuu, kuwa nahodha mwaka 2012. Baada ya majira mawili katika safari ya juu na maendeleo ya kimataifa, alijiunga na Liverpool kwa mili ...

                                               

Ahmad Nassir

Ahmad Nassir Juma Bhalo alikuwa malenga Mswahili wa Mombasa. Kwa upande wa babake alikuwa Mtangana na kwa mamake alikuwa Mkilindini. Haya ni miongoni mwa makabila ya asili ya Kiswahili Cha Kimvita, yaani Mombasa. Kama watoto wengine wa Mombasa wa wakati huo aliingia chuoni kusoma Qurani na dini ya kiislamu. Mafunzo hayo aliyapata kwa babu yake Sheikh Muhammad Ahmad Matano, mpaka alipohitimu. Baada ya mafunzo hayo, alikwenda shule ya kizungu kwa wakati huo ikijulikana kama Arab Boys Serani Primary School hapo Mombasa,Kwa bahati mbaya hakumaliza masomo yake na aliwata aliwacha akiwa darasa l ...

                                               

Akbar

Jalaluddin Muhammad Akbar ; pia: Akbar Mkuu) alikuwa mtawala wa Uhindi kati ya 1556 hadi 1605. Huhesabiwa kuwa mkubwa kati ya watawala wa nasaba ya Moghuli. Alizaliwa 15 Oktoba 1542 akawa mfalme mkuu akiwa na umri wa miaka 13 baada ya kifo cha babaye Humayun.

                                     

ⓘ Mbegu za watu

  • nyembammba na bapa zinazoweza kuliwa nyingi ya mbegu za maboga huwa na hupatikana kwenye maduka mengi mbegu za maboga zinafaida nyingi sana kiafya na hujumuisha
  • rahisi kuifinga kwa maumbo mbalimbali. Chanzo ni mbegu za kakao. Hizo zinakaushwa, kukaangwa na kusagwa. Mbegu zinazosagwa zina kiasi kikubwa cha mafuta ndani
  • manyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Mbegu au punje za ngano ni nafaka ambayo ni chakula muhimu katika sehemu nyingi za dunia hasa kwenye kanda zisizo na
  • Zama za Mawe zilikuwa kipindi kirefu cha historia ya awali ya binadamu. Jina hilo linatokana na kwamba wakati huo watu walitumia vifaa vya mawe kwa shughuli
  • ngeli ya monokotiledoni. Mbegu au punje za oti ni nafaka ambayo ni chakula cha wanyama na pia cha watu katika nchi hasa za Ulaya na pia penginepo nje
  • Korosho ni mbegu wa mkorosho ni mmea wa jamii ya mimea itoayo maua ya familia ya Anacardiaceae. Korosho yenyewe inakua pamoja na tunda linaloitwa bibo
  • hadi Ulaya ya Kusini, Amerika ya Kati na ya Kaskazini na Asia ya Kusini. Mbegu za mtama ni nafaka ambazo ni chakula muhimu katika Afrika hasa. Kuna pia majaribio
A.J. Styles
                                               

A.J. Styles

Allen Neal Jones, ni mpiganaji wa mieleka wa Marekani ambaye amesajiliwa kwenye WWE, ambako anapigana chini ya brandi ya SmackDown na ni bingwa wa WWE wa sasa katika utawala wake wa pili. Kwa muda mrefu alionekana kama mmoja wa wapiganaji bora duniani, kwa sababu ya mtindo wake wa kupigana mitindo mingi na ya kiufundi.

                                               

Adelardus Kilangi

Adelardus Kilangi ni Mwanasheria Mkuu wa Tanzania. Aliingia katika nafasi hiyo mnamo Februari 2018 akimrithi George Masaju. Aliteuliwa tena mwaka 2020 kuendelea kuhudumu baada ya kipindi cha kwanza kumalizika mnamo Oktoba 2020 na atakuwamo katika Bunge la 12 la Tanzania. Prof Kilangi amefanya kazi za utafiti na kutoa ushauri mbalimbali ndani na nje ya nchi.

Richa Adhia
                                               

Richa Adhia

Richa Maria Adhia alikuwa Miss Tanzania wa mwaka 2007. Alizaliwa jijini Dar es Salaam tarehe 1 Mei, 1988 na kukulia mjini Mwanza, Tanzania. Mama yake ni mtu wa Kisiwani Pemba, na baba yake ni mtu wa Morogoro, Tanzania.

Mikael Agricola
                                               

Mikael Agricola

Mikael Agricola alikuwa mwanateolojia katika nchi ya Ufini. Alikuwa mwanafunzi wa Martin Luther na Philipp Melanchthon na baadaye alileta mabadiliko ya kanisa kule Finland. Pia alianzisha fasihi katika lugha ya Kifini na kutafsiri Agano Jipya.

                                               

John Stephen Akhwari

John Stephen Akhwari alikuwa mwanariadha kutoka nchi ya Tanzania aliyehudhuria Michezo ya Olimpiki mwaka wa 1968 kule Mexiko upande wa mbio ya marathoni.

Al-Farouq Aminu
                                               

Al-Farouq Aminu

Al-Farouq Ajiede Aminu ni mchezaji wa mpira wa kikapu mwenye asili ya mchanganyiko katika ya Mmarekani na Mnigeria. Al-Farouq anachezea timu ya Orlando Magic ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu. Kimataifa anachezea timu ya taifa Nigeria. Aminu alichaguliwa katika timu ya Los Angeles Clippers katika machaguzi ya wachezaji mnamo mwaka 2010 kama chagua la nane. Pia alifanikiwa kuzichezea timu za New Orleans, Dallas Mavericks na Portland Trail Blazers.

Aleksandr Volkov
                                               

Aleksandr Volkov

Aleksandr Aleksandrovich Volkov ni mchezaji wa mpira wa wavu anayetokea Urusi. Aleksandr Volkov ni mwanachama wa timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Urusi na klabu ya Ural Ufa ya Urusi. Alikuwa Bingwa wa Olimpiki mwaka 2012, alipata medali ya shaba katika michezo ya Olimpiki ya mpira wa wavu mwaka 2008 na medali ya dhahabu katika Kombe la Dunia la mpira wa wavu mwaka 2011, alipata medali ya fedha katika michuano ya Ulaya ya mpira wa wavu mwaka 2007.

                                               

Alex Lopez

Alexandra Lopez, maarufu kama Alex Lopez Ni mwigizaji wa kike mbrazili mwenye asili ya Nigeria na aliyekuwa mwanamitindo, alikuwa maarufu kwa uhusika wake katika sinema ya Domitila 2. Mnamo mwaka 1993, Lopez alishika nafasi ya pili katika mashindano ya urembo Nigeria. Maisha ya Awali. Lopez alizaliwa Jos na alipata mafunzo katika mji wa Obosi, jimbo la Anambra lililopo kusini mashariki mwa Nigeria.Pia ni mtoto wa pili katika familia ya wasichana watano na mvulana mmoja.

Alois Alzheimer
                                               

Alois Alzheimer

Aloysius "Alois" Alzheimer alikuwa daktari wa akili kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa kugundua ugonjwa wa Alzheimer.

Amancio Ortega
                                               

Amancio Ortega

Amancio Ortega Gaona ni mfanyabiashara bilionea wa huko Hispania. Yeye ndiye mkuu wa familia ya Ortega. Ndiye mwanzilishi na mwenyekiti wa zamani wa kikundi cha mtindo cha Inditex, kinachojulikana kwa mlolongo wa maduka ya nguo na vifaa vya Zara. Kufikia mwishoni mwa mwezi Septemba 2018, Ortega alikuwa na jumla ya mali halisi ya dola bilioni 70, na kumfanya awe mtu wa pili tajiri zaidi huko Ulaya baada ya Bernard Arnault, na wa sita duniani. Ortega pia ni muuzaji tajiri zaidi duniani.

Users also searched:

...
...
...